Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

kuongoza nchi sio sawa na kulea mtoto wewe mwanamke hawez kuhimili mikikimikiki ya Vita.....Ndio maana ikitokea vita wa kwanza kukimbia ni wanawake na watoto kwa sababu ni dhaifu kimwili na kiakili
Pia ile nchi ukae ukijua haiongozwi na mtu mmoja kuna masenetor, governor etc.
 
Wamarekani wakimchagua clinton kuwa rais nitaamini kwamba zamani binadamu alikua nyani.
Sijuw sisi watanzani tuna matatizo gani yaani jamani leo hii mara mmekwisha sahau mambo aliyo yafanya Haiti huyo bi kizee?
Libya na Syria ???
Watu wanakaa kabisa na ku cherish kabisa hicho ki mama kimwanga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
d4b4e42cfacda6e4462cf8c6db0bd164.jpg
 
najua watu wengi wamejiaminisha kuwa trump atashinda ila nasema hivi kwa msisitizo!!!!!....
HILLARY CLINTON ndie mshindi kwa urais marekani nasema kwa kujiamini sifati mkumbo huyu mama nimemfatilia sana wakati wa kampeni yupo makini na anakubalikaaaaaaaaaaa anaepinga ushindi wake na aje apa TUPINGE........

HILLARY CLINTON OYEEEEEEE!!!!.
Mkuu umeenda kwenye kituo cha kupigia kura? Maana naona povu jingi Sana hapa
 
TATHMINI YANGU JUU YA UCHAGUZI NCHINI MAREKANI
Kuna vitu viwili vinaendelea kwenye Uchaguzi unaoendelea kwa sasa nchini Marekani.

Moja ni vita ya Demokrasia ya kinafiki (Democrat chini ya Hillary Clinton) na pili ni uhalisia wa Demokrasia ya marekani (Republican chini ya Trump)

Hillary Clinton anaionyesha Dunia ni nini maana ya Demokrasia ya kinafiki kwa kuzungumza moja kwa moja juu ya mshikamano na ustawi bora wa mahusiano kati ya Marekani na mataifa ya nje.

>Kwanini Demokrasia ya kinafiki.
Chama cha Democrat wao wanaamini katika makubaliano ya amani chini ya Obama wakati wake ndio wakati ambao mpaka leo Syria wanapigana na kwenye hili iko wazi ni mkono wa Russia na Marekani ndio unaopigana nchini Syria.

Libya inaanguka hata Speech ya Mwisho ya gaddafi aliwambia wananchi wa Libya kua huyo mmarekani anaewambia mdai Usawa Kwake kila kitu unachangia. Lakini pia alisikitika kwa mtoto wa kiafrika Obama kumfanyia mwafrika mwenzake ule ukatili.
Chini ya Obama dunia imezalisha machafuko mengi na kumekua na ongezeko kubwa la wakimbizi kwenye nchi mbalimbali.

Hillary Clinton inawezekana akaja kumalizia kazi aliyoiacha Obama tena nyongeza kuhusu yeye ni mwanamke bado nawaza nguvu ya mwanamke itakuaje kwenye hii dunia na sio Kwamba napinga Usawa wa kijinsia Ila nawaza tuu.

>Kwanini uhalisia wa Demokrasia ya marekani
Chama cha Republican wao wanaamini katika vita kwa Wote wakati wa Bush hata heshima kwa mihimili ya Dunia haikuwepo.
Wakati Bush ananyenyuka kumpiga Saddam Hussein hakusikiliza jambo la mtu hata alipoitwa Vatican na Pope bado haikutosha kuacha kushinikiza Saddam kupigwa.

Leo Donald Trump anakwambia Dunia ingekua bora sana kama Saddam Hussein na Gaddafi wangekua Hai (Hakuna unafiki uliotukuka kama Huu). Huyu bado kasisitiza kujenga ukuta kuwazuia wahamiaji wa Mexico jambo ambalo Pope alilipinga kwamba sio la kibinadamu.
Huyu huyu Trump anasema misikitini ndio chanzo cha ugaidi kwamba mpaka misikitini inabidi kuwe na uchunguzi (Hakuna uhuru wa kuabudu)

Jambo kubwa ambalo anaudanganya ulimwengu ni Yeye kujifanya ajui kua wao ndio mashujaa wa kudhamini makundi ya kigaidi Duniani.

Binafsi sina ninachoweza kukisema juu ya uchaguzi wa Marekani ila ninachojua yoyote atakae Ingia madarakani anaenda kufanya kazi kwa kuzingatia matakwa ya serikali ya marekani na sio matakwa yake.

JAMBO LA AJABU NILILOJIFUNZA JUU FIKRA ZA WATANZANIA JUU YA UCHAGUZI WA MAREKANI.
Wengi wanamkubali Trump ila kila nikiangalia anachokiamini Trump juu ya marekani mpya chini yake.

Nagundua ile Demokrasia ya uhalisia inayoiongoza Dunia chini ya Trump.

Trump kaonyesha wazi wazi kutokua mshabiki mzuri wa mahusiano ya kimataifa ila amejikita kwenye uchumi wa kibaguzi kwa kuliangalia kwanza taifa la marekani na hiki ndio kinachompa nguvu ya wamarekani kumuunga mkono.

Uhalisia wa Demokrasia ya marekani sio ya mtu mwingine wala taifa jingine ni Demokrasia ya unyang'anyi na ambayo haina chembe ya ubinadamu na hiki ndio kinachonipa tabu namna watanzania tulivyo busy na kinachoendelea nchini Marekani.

Tunapiga kelele zote ila uhalisia wa Taifa la marekani ni unafiki wa Demokrasia chini ya Hillary Clinton na uwazi wa Demokrasia ya dunia chini ya Trump. Hakuna jipya kwenye huu uchaguzi yoyote atakae pita bado atakua mwiba kwenye nchi masikini kama Tanzania.

Leo imani yangu inaniambia Obama sio mwafrika wa kwanza kua qualified kunyakua kiti cha urais marekani Ila Obama ni white progress ndio maana mpaka leo uchaguzi unaendelea wakenya walikua wanajua Nairobi inaenda kua New York.

UONGO
Ni kuendelea kutegemea wao kujenga Nchi zetu na ustawi wa uchumi wetu.

UKWELI
Waafrika inabidi tuzipende nchi zetu lakini pia watanzania inabidi tulipende zaidi taifa letu na tujiandae zaidi kujenga uchumi wetu.

BAADA YA UCHAGUZI KUISHA NCHINI MAREKANI.
Tambua miaka nane ya Obama alijikita kwenye UCHOCHEZI wa machafuko Duniani huku upande wa pili China alijikita kwenye Biashara Leo uchumi wa China ni zaidi ya marekani.

Tambua tena kulikua na ubabe wa silaha za Nyuklia kati ya Russia na Marekani Ila kila mmoja kagoma kuweka chini mpango wake wa Nyuklia.

Naiona marekani inarudi tena kwenye Biashara najua mpaka sasa kuna jambo wamejifunza baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa European union.

TUAMKE
Hakuna faida kuendelea kupiga kelele na uchaguzi wa Marekani nadhani raia wa Marekani sidhani kama mwaka jana 2015 waliangaika na uchaguzi nchini Tanzania. Tuamke tujipange na sera za kimataifa ambazo kwa sasa zitakuja kwa kasi kwenye nchi za kiafrika na Tanzania yetu.

CHINA atazidi kuja moja kwa moja kwetu
Uingereza atakuja moja kwa moja kwetu na ikumbukwe ni mshirika wetu wa muda mrefu.
Ila sijui style ya marekani namna watakavyokuja ila kurudisha uchumi wao ambao kwa sasa China yuko juu.

**NUKUU YA UCHAGUZI NCHINI MAREKANI ***
 
najua watu wengi wamejiaminisha kuwa trump atashinda ila nasema hivi kwa msisitizo!!!!!....
HILLARY CLINTON ndie mshindi kwa urais marekani nasema kwa kujiamini sifati mkumbo huyu mama nimemfatilia sana wakati wa kampeni yupo makini na anakubalikaaaaaaaaaaa anaepinga ushindi wake na aje apa TUPINGE........

HILLARY CLINTON OYEEEEEEE!!!!.
ngoja mshindi atangazwe vinginevyo unatafuta maumivu
 
Axe we kiboko,atashinda kwa asilimia ngp kama kweli unauhakika?!
Ukipatia asilimia utapata zawadi ya kuwa mshindi kama atakavyo shinda H.C.
 
Kumbe wewe huwa unaota kinyume! Kuazia leo ukiota unatajirika jiandae kwa umaskini wa kutupa!
 
najua watu wengi wamejiaminisha kuwa trump atashinda ila nasema hivi kwa msisitizo!!!!!....
HILLARY CLINTON ndie mshindi kwa urais marekani nasema kwa kujiamini sifati mkumbo huyu mama nimemfatilia sana wakati wa kampeni yupo makini na anakubalikaaaaaaaaaaa anaepinga ushindi wake na aje apa TUPINGE........

HILLARY CLINTON OYEEEEEEE!!!!.
Nakumbuka kipindi cha ukawa ulikuja hapahapa ukasema ENL anakuwa mshindi,l dont trust ur "RAMLI"
 
Axe we kiboko,atashinda kwa asilimia ngp kama kweli unauhakika?!
Ukipatia asilimia utapata zawadi ya kuwa mshindi kama atakavyo shinda H.C.
habari ya asilimia waachie wenyewe tuendelee kutazama t.v
 
Back
Top Bottom