Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Toa sababu nyingine za bi. Clinton kutoweza lakini si kwasababu ya jinsia yake.Fikra hizi zimepitwa na wakati.
Zimepitwa na Wakati lini?? Mbona mm naamini katika masculinity,... Au unazungumzia Wakati gani mkuu??? Kuna nchi ambazo haziitaji kuongozwa kwa hisia.... Nadhani unajua hawa wenzetu walivyokuwa watu wa feelings. Marekani bado inahitaji kuongozwa kibabe, na ubabe unaonekana wazi unapobebwa na mwanaume. Hapana kwa clintoni.
 
uchaguzi wa usa.. wapiga debe wapo namtumbo tanzania...

tuongelee ya magufuli na lowassa.. ya wamarekani tuwaachie wamarekan

je namba wewe unaisoma au bado hujaanza kuisoma..

wenzetu uchaguzi hauna msaga sumu wala tot.. hawana nyimbo za kusomeshana namba


najua watu wengi wamejiaminisha kuwa trump atashinda ila nasema hivi kwa msisitizo!!!!!....
HILLARY CLINTON ndie mshindi kwa urais marekani nasema kwa kujiamini sifati mkumbo huyu mama nimemfatilia sana wakati wa kampeni yupo makini na anakubalikaaaaaaaaaaa anaepinga ushindi wake na aje apa TUPINGE........

HILLARY CLINTON OYEEEEEEE!!!!.
 
uchaguzi wa usa.. wapiga debe wapo namtumbo tanzania...

tuongelee ya magufuli na lowassa.. ya wamarekani tuwaachie wamarekan

je namba wewe unaisoma au bado hujaanza kuisoma..

wenzetu uchaguzi hauna msaga sumu wala tot.. hawana nyimbo za kusomeshana namba

(bold) nimeshindwa kujizuia kucheka kwa sauti, shaurimbaya hahahahah umenianzishia siku yangu na kicheko murua tehe the
 
uchaguzi wa usa.. wapiga debe wapo namtumbo tanzania...

tuongelee ya magufuli na lowassa.. ya wamarekani tuwaachie wamarekan

je namba wewe unaisoma au bado hujaanza kuisoma..

wenzetu uchaguzi hauna msaga sumu wala tot.. hawana nyimbo za kusomeshana namba
tunaongeleaga kilichopo maadam hata TZ na sisi tulikuwaga gumzo wacha na wao tujadili habali ya kusoma namba mbona nimeshajifunza tangu nursery namba 1-+++++ labda niandikie hiyo nambaunayoiulizia hapa chini niisome.
 
Hillary anashinda uchaguzi kuwa rais was marekani trump hashindi hz sio siasa za ccm na ukawa. hko democracy na uwazi mkubwa sana sio kama Tz anashinda huyu anatangazwa huyu.
 
Wamarekani wanajua wanachokitaka Tuache ushabiki Toka enzi zile wanajua wanakitaka, wakati sisi tunaongozwa kuchagua kwa kutumia maneno matamu yanayoitwa Ahad_"iIani" wao wanachagua kutumia "sera ya Taifa"

Mlipomshabikia Obama Afrika imepata nini?
Wakati wanatazama fursa na jinsi ya kumtumia sisi tunaangalia rangi yetu " !

Leo hii unasikia watu wanalumbana atashinda Trump au Clinton:itatusaidia nini watanzania ?

Mathalani pamoja na maneno na lugha na misimamo mikali ya mtu kama Trump.
Je kuna jambo gani analolitamka ambalo sio Sera ya marekani ?

Kikubwa cha kutazama ni Unabii kuendelea kutimia au sio vinginevyo.

Kwa maoni yangu:
Marekani huenda ikapoteza na dola nyingine ya tatu itajidhiirisha kama ilivyotabiriwa.

Tufanye ya kwetu wao hatuwawezi !

JAMBO la kULUMBANA NA KULIJADILI NI LA Katiba mpya ambalo LINA maana kwetu sote ni la Muhimu

Nitawajenga:Sitawabomoa

Kiwarya J.P.Lema
 
Ngoja muone tiktak atakayopiga Mzee wa kugrab 'nyau'! Hamtaamini macho yenu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya tuone,kama vipi tubet kabisa.
Au unasemaje?[emoji12]
 
Zimepitwa na Wakati lini??
Keep on living the past...
Mbona mm naamini katika masculinity,...
Pengine ni makuzi na jamii iliyokuzunguka imekujenga kuwa na matazamo huo..Uongozi si kazi ya sulubu...

Au unazungumzia Wakati gani mkuu??? Kuna nchi ambazo haziitaji kuongozwa kwa hisia....
nitajie nchi zinazohitaji kuongozwa kwa hisia...ooh nishazifahamu..Germany,UK,Argentina...
huna tofauti na wale walioamini Obama hawezi kutawala Marekani kwasababu tu ya uweusi wake..
Nadhani unajua hawa wenzetu walivyokuwa watu wa feelings.
Hakika feelings zake zitakuwa tested baada ya kukamata uraisi licha ya kuwa siasani/uongozini kwa zaidi ya miaka 30.😀😀
Marekani bado inahitaji kuongozwa kibabe, na ubabe unaonekana wazi unapobebwa na mwanaume. Hapana kwa clintoni.
kwa kuwa ulishajinasibu kama ''Muumini wa Mfumo Dume'' sikutegemea jipya..
 
Back
Top Bottom