Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Tuwaazime Jecha kama wanamtaka akawafanyie mambo...
January ameambata nae kwenda huko kwani wamemwambie aende na kikundi chake chote cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi.
 
HILARY CLINTON atashinda mdipo dunia nzima itatikisika kwa usawa wa kijinsia na anaepinga aje hapa TUPINGE.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unaota kabla ya kulala!? Lala kwanza ili uote na ukiota utaota Hillary ndiye the next POTUS na siyo huyo Trump the Groper AKA maniac.

Trump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.
148427c73181bd501ce3ba30a113c37f.jpg
 
HILLARY CLINTON ndie mshindiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!! anaebisha tupinge.
 
najua watu wengi wamejiaminisha kuwa trump atashinda ila nasema hivi kwa msisitizo!!!!!....
HILLARY CLINTON ndie mshindi kwa urais marekani nasema kwa kujiamini sifati mkumbo huyu mama nimemfatilia sana wakati wa kampeni yupo makini na anakubalikaaaaaaaaaaa anaepinga ushindi wake na aje apa TUPINGE........

HILLARY CLINTON OYEEEEEEE!!!!.
 
Unaota kabla ya kulala!? Lala kwanza ili uote na ukiota utaota Hillary ndiye the next POTUS na siyo huyo Trump the Groper AKA maniac.

Aliota wakati ana nap.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom