Ni wwmi sijaota
Ni wwmi sijaota
hayaNi ww
Mimi niko tayari kuweka mzigo Donald anashinda 750$ kama uko serious twende ata sasa hivi[US] Dola 100.....deal?
Akishinda nakupa [US] dola 100 akishindwa unanipa [US] dola 100.
Hakuna kitu kama hiyo weweHILARY CLINTON atashinda mdipo dunia nzima itatikisika kwa usawa wa kijinsia na anaepinga aje hapa TUPINGE.
Kwa hiyo makamu wetu wa raisi nae anayafanya hayo mambo[emoji15][emoji780]Akili za wanawake zilivyo hapo Ikulu patageuzwa sehemu ya kusutana na umbea.....Muda mwingi rais atautumia kwenye kiooo kujipodoa
Huyo waziri mkuu bosi wake ni nani? Hata CHADEMA bosi ni Mbowe lakini wanaosikika zaidi ni Lema na Tundu Lisu kwa sababu ya akili zao mbovuww kweli mweupe kchwani unajua kila nchi rais ndo mtu mwenye mamlaka makubwa? hata israel wana rais but mamlaka makubwa yapo kwa waziri mkuu unawaaibisha lumumba wenzio aisee
haha ha naona jiwe limetupwa gizanihunters and gatherers
True Story...She is a Devil's advocate na lazima aanzishe VITA huyo mwanamke.Ila tu kwa wanaotambua da reality
Haswa kwa sisi watanzani ama waafrica
Hatupaswi kum cherish huyooo Queen of distractions,killed of muslims arabs and Christians
Ant Christ ant muslims,she's da real nasty skendolous
Natunategemea hivyo mkuuNdio presidaaa
basi tusubiri.Hakuna kitu kama hiyo wewe
Watu wanaleta storyBinafsi naona chochote kinaweza kutokea, kinacho nishangaza zaidi licha ya mama huyo kupigiwa debe na watu wenye ushawishi mkubwa ukiongezea na vyombo vya habari (MSM) including Establishment Elite cha ajabu bado opinion polls lead inaonyesha Hillary ajazidiana sana na TRUMP, hii inakuwaje tena au inatoa picha gani kwamba baadhi ya Wamerika awana imani na Uongozi wa mwanamke au?
Nafikiri kambi ya Hillary imekwisha liona hilo ndiyo maana wanaonekana hawako over confident - leo kwa mfano nimeona bado wanaendelea kuwasihi wananchi wajitokeze kwa wingi kumpigia kura Hillary - wanaendelea kumu-demonise TRUMP, sasa kama wana uhakika watashinda mbona wanaendelea kutumia nguvu nyingi, wakati TRUMP wala atumii nguvu nyingi kwenye kampein zake au kusema maneno mengi, hatumii watu Popular kumpigia debe akiwa jukwaani wala nini sijui!
Trump kuna kitu anajiamini licha ya vyombo vya habari kumpiga vita mara kwa mara lakini raia wa kawaida ambao ni wengi wanaotaka Taifa lao lirudi mikononi mwao kutoka kwenye mikono ya Establishment, kundi hilo la walala hoi ndilo linawatia wasi wasi kundi la Hillary.
HeadlinesTayari amekuwa
a ukinitoweka?Unafanya kama kwa Bwana, uaminifu wako mwenyewe
Mwenye akili ni ww unaempenda asiyekuwa na akili.tafakari kurudi milembeeeeeHivi kweli mwanaume mzima na akili zako timamu unapanga foleni kwenda kumpigia kura Rais awe mwanamke? I can't believe this....!