Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Clinton atashinda. Simkubali. Tutegemee dunia ikiongozwa na wamama. Kama wanaume walituletea ushoga hawa wamama Tutegemee nini? Clinton, may
 
Clinton atashinda. Simkubali. Tutegemee dunia ikiongozwa na wamama. Kama wanaume walituletea ushoga hawa wamama Tutegemee nini? Clinton, may
Acha hisia mkuu!! Unadhan clinton au trump anaweza kataa hilo swala??? Unajua sera za usa?? Unadhan hata huyo mama anaweza kataa hizo sera??
 
Trump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.
148427c73181bd501ce3ba30a113c37f.jpg
Nina mashaka mkuu ulilala bila ya mto ndio maana ukaota hiyo ndoto,jitahidi kuwa unalalia mto unapolala utaota kinyume na hiyo ndoto yako,which is true.
 
Hivi watu wa Betting kwann wasiliangalie hili swala watu tutupie vyetu
 
Ila jamani tuwe serious mbona title ni tofauti na kilichopo kwenye hiyo link, matokea hayawezi yakatoka mda huu maana huko ni saa 2 asubuhi hata yale majimbo yaliyopiga kura mapema kabla ya leo bado isipokuwa kuna kijijij cha Diville ndo clinton ameshinda kwa kupata wajumbe 4 kwa wajumbe 2 ambapo magic number ni 270, hizo hapo ni polls na sio matokeo so acha upotoshaji.
 
Ili dunia inendelee kuwa salama Na America kuwa nchi mmoja napenda Bi Clinton achagulie kuwa rais Wa kwanza mwanamke Wa America

Binafsi simpendi bwana Trump!! kwanza ni mbaguzi Na Mimi si pendi ubaguzi!! yeye anakiburi cha pesa akifiri pesa ndo mungu!!


tupia hapa maoni yako au chaguo lako kati ya Bi Clinton Na Mr Trump
alisha kubagua lini?? sio trump wala clinton hamna mtu mweupe anampenda mtu mweusi duniani kote,so tuliza mshono.maana yyte atakayeshinda hakusaidii chochote
 
Ali
Acha hisia mkuu!! Unadhan clinton au trump anaweza kataa hilo swala??? Unajua sera za usa?? Unadhan hata huyo mama anaweza kataa hizo sera??
Fuatilia involvement yake au kauli yake kule Geneva kuhusu suala la wale mashoga waliokamatwa Malawi. Hii ilikuwa hata kabla kwa US kupitisha uhuru wa LGBT community. Hapo unajiongeza kidogo tu mkuu. Chini ya huyu mama na wenzake tutegemee surprise nyingi tu za kuathiri maamuzi ya nchi ambazo ni benefetee wa miasaada ya US na UK.
Mtazamo wangu wewe unaweza kuwa na wako mzuri zaidi. It's not the matter of true and false Bali opinions.
 
Wakati matokeo hajaanza kutangazwa umetoa wapi 71% wacha kucheza ma akili zetu
 
Back
Top Bottom