Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

ujermuan taifa lenye uchumi mkubwa kuliko yote ulaya linaongozwa na mwanamke kwa awamu tatu mfululizo sasa leo wakickia ww unasemakuchagua mwanamama ni ujinga lazima wakakupime akili kwanza kabla ya kukubishia
yule kivuli tu wanaofanya maamuzi ni wanaume!
 
>>>.mi NIshapiga yangu Ni kwa BARAKA de prince >>>> haaaaaaa nilidhani BONGO muv kumbe uchaguzi USA,,,,,,,, atashinda JUMA nature Basiiii>>
 
Updates matokeo Clinton aongoza kwa 71%
Mkuu, naona labda hukuelewa kiingereza.
"Hillary Clinton has a 70% chance of winning the election, according to a polling-day email from the respected pollster Nate Silver."
Anaposema 'chance of winning' anamaanisha probability kushinda kwa 71% na sio idadi ya kura kwa 71%. Kumbuka, kwenye hesabu za probability of events, hata mwenye 1% anaweza akaibuka kuwa mshindi
 
Basi wewe usiyemthamini mwanamke kama mama yako aliyekuzaa wewe na
Ulaaniwe milele! Hillary atakuwa Rais wa duniani lakini kama mwanamke na kama Mama ni Mungu wako wa duniani, waheshimu baba na mama upate miaka mingi duniani, Urais ni heshima ndogo sana ukilinganisha na cheo cha
Umama. Mwanamke aitwaye Mama hana mfano hapa duniani.
kwa nini usilaumu vitabu vitakatifu kwa kutomthamini mwanamke ndio uende kwa mtoa mada,pili mlaumu Mungu mwenyewe aliyotoa Mamlaka kwa Mwanaume dhidi ya Mwanamke.hayo mambo ya sijui mama alikuzaa,mara ulikaa tumboni kwake miezi 9 sio justification bali ukamilishaji ya agizo la Mungu.
 
Basi wewe usiyemthamini mwanamke kama mama yako aliyekuzaa wewe na
Ulaaniwe milele! Hillary atakuwa Rais wa duniani lakini kama mwanamke na kama Mama ni Mungu wako wa duniani, waheshimu baba na mama upate miaka mingi duniani, Urais ni heshima ndogo sana ukilinganisha na cheo cha
Umama. Mwanamke aitwaye Mama hana mfano hapa duniani.
pia uthamini wa mama kama mzazi upo pale pale,huyo jamaa anazungumzia uongozi.kwani kama mama yako hana uwezo wa uongozi ni vibaya kusema! unataka umpe sifa ambayo hana eti kwa vile ni mama.
 
Wengi mnaompigia promo huyu mama mtakuja kuhutia kauli zenu, huyu mama ni kama nyoka, ngozi inapendeza lakini ndani kumejaa sumu kali. Bora DP anayeongea ukweli kuliko huyu mama mnafiki, huyu hana tofauti na Bush, tofauti yao ni vyama tu.
 
hapa tunazungumzia uwezo wa mwanamke kwenye uongozi ......hata Yesu hakumwamini mwanamke ndio maana katika wanafunzi wake hakukua na mwanamke hata mmoja......Wanawake wanatakiwa wakae nyumbani walee familia na si vinginevyo.....

Hivi kuna shehe wa kike hata mmoja kwenye uislamu?
 
Back
Top Bottom