MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
Trump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.![]()
Tafuta pesa kivingine achana na kamari na utapeli! Trump hana chake.
Trump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.![]()
Hilary ni mtu wa kuambiwa fanya hivi fanya hivi, hafanyi maamuzi wake mwenyewe, hilary akiwa rais atakaa term moja tu ingawa atakuwa ameweka historia ya mwanamke wa kwanza kuwa rais wa marekani.huyo hilary ndio alihusika kupeleka majeshi kwa gadafi sasa akiwa rahisi dunia itakuaje salama?
huyo hilary ndio alihusika kupeleka majeshi kwa gadafi sasa akiwa rahisi dunia itakuaje salama?
Bora ashinde trump tu viongozi wa Africa wanajisahau mno.
[emoji2] exactlyHilary ni mtu wa kuambiwa fanya hivi fanya hivi, hafanyi maamuzi wake mwenyewe, hilary akiwa rais atakaa term moja tu ingawa atakuwa ameweka historia ya mwanamke wa kwanza kuwa rais wa marekani.
Pia ataongeza kiburi kwa akina dada/ wamama. Atakuwa mfano hai wa Beijing.
Toa sababu nyingine za bi. Clinton kutoweza lakini si kwasababu ya jinsia yake.Fikra hizi zimepitwa na wakati.Uchaguzi wa mwaka huu Marekani ni kimeo.... Clinton ni mwanamke sipendekezi aiongoze Marekani. Ni lazima niwe mkweli kuwa nina mfumo dume na ninaamini Marekani inahitaji kuongozwa kiume zaidi.... Trump sio mwanasiasa, ni rahisi sana kutuingiza vitani kwa njaa zake za kibiashara. Am on crossroad.