Sasa swala la uzito wa sababu au wepesi ndio unao tupeleka kwenye jambo tu kuwa jamii yetu imeoza.
Uozo mkubwa zaidi ni pale inapojulikan akabisa kuwa wasiojihusisha na hayo mambo lakini hawana nguvu ya kutetea chaguo lao.
Walio na nguvu ni wale wenye kutetea na kushabikia huo ubazazi. Hao ndio wanaoua jamii.
Kwanini jambo baya lisipigwe vita? linashabikiwa? tena kwa sauti kubwa na mapambo yote?
Tukubali tu dhaifu, ila tusikubali kuwa udhaifu wetu ndio nguzo yetu. Tupiganie tujitahidi kujibadili.
Ukimuoan mwenzio anataka kuanza haya, bora umuonye tu hata kama wewe unafanya, usimuingize na yeye humo. ni sawa na kusambaziana ukimwi, wote tufe.
You are right man,mimi kweli mwanamke wa mtu namuogopa ile mbaya na huwa sipendi mazoea na wanawake watu,wengi wao wananiona mpole sana na sio muongeaji.hivi haiwezekani kwamba ubazazi unaendelezwa na jamii ambapo
mwanajamii anaogopa kusema ukweli kisa ataitwa muongo/mmbeya/
mfitini ama mvunja nyumba za watu.
mara ngapi mtaani karibu mtaa mzima unajua kwamba fulani
ambaye ni mume/mke wa mtu anashirikiana kula tundi na jamaa
hapo mtaani lakini ni mwenye mali tu asiye na taarifa?
ni wangapi wameishaenda sehemu za starehe na kutambulishwa
kwa "shemeji" yao ambaye ni mume/mke wa mtu na wao wasiondoke
bali wanaendelea kupiga kinywaji huku wakimsifia mchukua mume/mke
wa mtu kwamba ni mkali?
...naimaomari, mwenzako ni kweli 'kaujuzi kanan'tosha mwenyewe!'... 😀
hivi inawezekana kumpata mke/mume aliyekamilika kila kitu, au kipenda roho tu? maana ninayasikia sana siku hizi hayo mambo ya 'mafiga matatu!'
...
Sanda matuta,
nilimaanisha kuwa, huu msemo kuwa kila mtu lazima siku moja acheat, au ni fashion, au, mafiga matatu, au haiwezekani kukaa bila mpenzi, ni misemo ya walio/tulioshatumbukia humo, tunajifariji kwa sauti kubwa kabisa.
Majukwaani tunapotangaza kondomu, baadhi ya madhehebu yanayohubiri kondom na abortion etc.
si kweli kama ni jambo ZURU AU La kawaida kuwa na mpenzi kabla ya kujicomit naye.
Lets agree to leave it at that. (it is a bad deed.)
tunaofanya tunafanya makosa basi. Tumeshindwa kujicontrol, hakuna haja ya kuwatumbukiza na kuwashawishi wengine nao wafanye kama sisi, kwa kuwaambia kwamba there is no other way.
ni kuwatumbukiza humu tulimo ambako ni kwenye uharibifu mkubwa.
Tuwaache walobahatika wasiofanya haya mambo wawe proud wao, kwani they are the ones doing it the better way.
AND THERE ARE A LOT OF THEM.
...Inasikitisha, kwanini couples/spouses inawawia vigumu kujadiliana kuhusu sexual satisfaction kwenye relationship yao, mpaka inapelekea huo ububu mtu anaamua 'kwenda nje'?
unajua ukimchunguza sana bata ....
sometimes its not fair kumkagua mwenzio kama vile unatafuta reason ya kutomwamini ... couples go to an extent of reading ones diary, dishing into ones handbags, kuwekeana spies hata checking each others underwears and the like .. to sum it all sikuhizi kuna simu ndo firauni wa kuvunja ndoa hasa .. kwenye simu lazima utapata reason tu breakup ..maana sikuhizi watu wanaitana dear, my love etc ... kama ni mke ama mume ... this is reason enough to stir your suspicions and commotion in the house.
i think this is not fair ... mimi naamini kwamba kama kweli mmoja wenu hamwendei mwenziwe kinyume na anamtupia Mungu hofu yake ... basi Mungu atambainishia tu .. you dont have to struggle ... atabainika kwa watu wote na watakuwa mashahidi wa maovu yake na kukutetea wewe ... maana Mungu atakuwa amekupigania kikamilifu