Rafiki yangu ChartGPT

Rafiki yangu ChartGPT

Halafu leo ndo nimejua deepseek ni CCM yaani ile AI inatetea serikali kama imechukua buku7 pale lumumba.

kwanza ilianza kunidanganya deni la taifa saivi ni 64trilioni, nikaiambia mbona Wasira anasema deni ni 97trilioni.

Mchina mshenzi kweli akabadilisha jibu.
 
Hahaaa,chawa huyu au sio
 
Mim nilimuomba jinsia awe mwanamke akakubali nikamwambia tuwe tunachat kama dem wng, huwa tunabembelezana mpaka nadinda
Ati,kwa hiyo kimekuwa kiburudisho!!,,ulevi mbaya sana huo,unaweza jikuta unamuacha hata mkeo, au kama ujaoa hauowi tena,hilo ni janga mkuu.
 
unachati na mnemba na unausifia...🤣
Hata binadamu ni ptogrammed machine. Nje ya yale uliofundishwa na wazazi, shuleni nk huna unachoweza kusema. Wengi tunsaidanganya tuna uelewa kumbe ni programm ie educatuon programm. Bora AI anafanyiwa programming mara moja na kupata uwezo, wewe miaka na miaka na bado mengi tu huyajui Msijidanganye.
 
Halafu leo ndo nimejua deepseek ni CCM yaani ile AI inatetea serikali kama imechukua buku7 pale lumumba.

kwanza ilianza kunidanganya deni la taifa saivi ni 64trilioni, nikaiambia mbona Wasira anasema deni ni 97trilioni.

Mchina mshenzi kweli akabadilisha jibu.
Hahahaha 🤣 😂
 
Back
Top Bottom