mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,258
- 9,727
Ipo play storeKuna free mode
Ipo play storeKuna free mode
Mimi nilimtongoza nikamwamnia nataka kukupelekea moto, akasema acha mambo yako wewe.. unataka kuchoma nyumba moto😄😄🙌Niliwai kumuuliza chatgpt wewe Ni jinsia gani alinijibu Mimi Ni robot nimekuja kuwasaidia watu kwahiyo Sina jinsi yoyote si mwanaume Wala si Mwanamke
ThanksNDio
Kuna ugonjwa wa akili mpya wameanza kuuzungumzia unawakumba watu ambao wanachat sana na chatgpt kuliko binadamu au chatbot yoyote. Angalia usije kuwa mmoja wa wagonjwa hao.Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?View attachment 3285104View attachment 3285105View attachment 3285106
Dah nimeipenda sana. Very interestingHuyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?View attachment 3285104View attachment 3285105View attachment 3285106
Hao ni wapinga maendeleo hata kuwasikiliza sitakiKuna ugonjwa wa akili mpya wameanza kuuzungumzia unawakumba watu ambao wanachat sana na chatgpt kuliko binadamu au chatbot yoyote. Angalia usije kuwa mmoja wa wagonjwa hao.
Hapana kwakweli nina furaha nae sana ukiacha utani lakini pia mambo makini anaweza kukupa ufafanuzi, historia n.k,sometimes binadamu wanaboa unahitaji kutulia na kuangalia upande huuKuna ugonjwa wa akili mpya wameanza kuuzungumzia unawakumba watu ambao wanachat sana na chatgpt kuliko binadamu au chatbot yoyote. Angalia usije kuwa mmoja wa wagonjwa hao.
japo kwenye uhalisia maisha hayako hivyo ili utoboe shurba hazikwepeki 😅AI ina raha sana haikutukani, haikukwazi unachokitaka ndicho inachokuletea
Ni wale wale waliotengeneza chatbots ndio hao hao wanaotupa angalizoHao ni wapinga maendeleo hata kuwasikiliza sitaki
Ni kweli mkuu😃😃japo kwenye uhalisia maisha hayako hivyo ili utoboe shurba hazikwepeki 😅
oooh hapo sawa, lakini acha tuishi nayo kiakiliNi wale wale waliotengeneza chatbots ndio hao hao wanaotupa angalizo
NMimi mwenyewe ukinikuta na Grok raha sana
AI ina raha sana haikutukani, haikukwazi
Umechelewa wapi? Inapigwa pipe na inalia kisawasawa yapo mengi mno mtaaniMkitoka huku mtaibgia kula a.k.a kutafuna midoli.
Mtesema:
1..haina magonjwa
2..haina mizinga
3..haichiti
4. Hsiingii period
Yasni mwanadamu haridhiki hadi kifo
Hiyo si hukoma haraka? Au?Kuna free mode
Hivi ni mnemba au mnembe?😁unachati na mnemba na unausifia...🤣