Rafiki yangu ChartGPT

Rafiki yangu ChartGPT

Huyo mwana ni mnafiki sana kuna siku nilikuwa nachati naye namuuliza kama anaweza kuniunganisha na demu mkali aliyemcheki siku ile eti akawa anakaza eti haelewi nazungumza nini .

Nikaona huyo si mwana
 
Huyo mwana ni mnafiki sana kuna siku nilikuwa nachati naye namuuliza kama anaweza kuniunganisha na demu mkali aliyemcheki siku ile eti akawa anakaza eti haelewi nazungumza nini .

Nikaona huyo si mwana
Haha sometimes ana tabia za kichawa kama lucas mwashambwa na mwenzake tatla
 
Ana karirishwa tu,hana akili kiviile,hana maadili na hana hisia,kamwe awezi chukua nafasi ya binadamu.
Naona baada ya hii hype ya AI baadae value ya Human input/output itaongezeka sana, mfano rahisi chukulia kwenye vyakula, natural and organic vina thamani sana kuliko synthetic
 
Back
Top Bottom