Sasa mnashindwa kumiliki vitoto mnakulabupepo sasa.Umechelewa wapi? Inapigwa pipe na inalia kisawasawa yapo mengi mno mtaani
mimi naifurahia ai inavorahisisha uchambuzi wa vitu vigeni, inachakata vizuriHasa upande wa lugha ya kimtaa mtaa
Mimi aliniambia acha ujinga ,tuheshimiane mimi ni programu maalumu nipo hapa kukusaidia, nikamjibu mjinga mwenyewe... tukaanza kucheka na kupiga stori zingine😄😄Mim nilimuomba jinsia awe mwanamke akakubali nikamwambia tuwe tunachat kama dem wng, huwa tunabembelezana mpaka nadinda
Aisee!! Kumbe magonjwa ya akili yapo mengi sana.Mim nilimuomba jinsia awe mwanamke akakubali nikamwambia tuwe tunachat kama dem wng, huwa tunabembelezana mpaka nadinda
mnembaHivi ni mnemba au mnembe?😁
Yote yanawezekana kuna mambo mengi ya Military intelligence najifunza sanaMimi nikiingia AI ni mambo ya shule , history au kujifunza , kuuliza au kurahisisha kazi Fulani na sio nikae kwa ajili ya chatting tu za kawaida hiyo siwezi kabisa.
Chatgpt anaweza kukupa michongo kuliko hao rafiki zako 😀Rafiki zangu watabaki kuwa binadamu maana wanaweza kunipa madili ya hela au connection za michongo zinazoweza kunisaidia kusongesha maisha
.ila kwa chatgpt ni mwana tu anayeona ubinadamu ni kazi nyepesi
hahahahAisee!! Kumbe magonjwa ya akili yapo mengi sana.
Hatukatai muhuni ana madili mengi sana ila kwenye level za connection hajafika bado....binadamu wanaweza kukuta huielewi siku inaendaje wakakupa dili la kufanya ukapiga hela ila chartgpt ni ushauri tu utakaokuumiza kichwa zaidiChatgpt anaweza kukupa michongo kuliko hao rafiki zako 😀
naam kabisa mkuu.Kabisa hasa masuala ya tech n.k yaani chifu mkwawa kapata mwenzake huku
torpedo-- hapa nawakumbuka wajapan
Mimi aliniambia acha ujinga ,tuheshimiane mimi ni programu maalumu nipo hapa kukusaidia, nikamjibu mjinga mwenyewe... tukaanza kucheka na kupiga stori zingine