Rafiki wa Mume wangu............

Rafiki wa Mume wangu............

loh binti safi sana wewe umenikumbusha miaka mingi nyuma... ujanani nilipenda sana wanawake makurumbembe..sikupenda watulivu.. niliwezana sana na makurumbembe... unanifaa wewe,, ndo michezo yngu hiyo... mpaka uzeeni mimi napenda makurumbembe yale ya town... nipo hivyo ingawa nimezeeka sana na busara zinapiga hodi... mzalie huyo jamaa,, utakuja kunishukuru
😅😅😅😅Amwachie kumbukumbu
 
Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake.

Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na kukubaliana jambo, akienda kuongea na rafiki yake anarudi na kubadilisha maamuzi. Mwanzoni nilikuwa nakasirika, lakini baadaye nikagundua kwamba nikitaka kitu kutoka kwa mume wangu, ni bora niongee na rafiki yake. Akimshawishi, mume wangu anakubali.

Hali hiyo ilitengeneza mazoea kati yangu na huyo rafiki yake, mpaka tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Sasa mume wangu ana tabia moja, tukigombana ananifukuza nyumbani. Ananiambia, "Rudi kwenu, chukua vitu vyako!"

Mwanzoni alikuwa akinifukuza, namtafuta rafiki yake amshawishi anisamehe. Wakati mwingine naenda kwetu, nakaa siku chache, halafu narudi.

Lakini baada ya kuanza mahusiano na rafiki yake, mambo yakabadilika. Mume wangu akinifukuza, naenda moja kwa moja kwa rafiki yake. Nakaa naye hata wiki nzima, halafu tukichokana, anamtafuta mume wangu na kumwambia, "Mrudishe mke wako, sasa hivi atakuwa ameshajifunza."

Mume wangu ananikubali na mimi narudi nyumbani kama hakuna kilichotokea.
Hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi mpaka sasa tuna watoto. Wakati mwingine hata bila kugombana, tukimissiana na huyo rafiki yake, tunapanga mpango. Mimi nafanya kakituko kidogo, mume wangu anakasirika na kumtafuta rafiki yake.
Rafiki yake anamwambia, "Huyu bado hajajifunza, mrudishe kwao kwanza!"

Mume wangu ananifukuza, mimi najifanya nimeenda kwa ndugu zangu, kumbe naenda kukaa kwa rafiki yake. Tukimaliza mambo yetu, ananishawishi nirudi kwenye ndoa yangu.

Lakini sasa hivi kumetokea changamoto ambayo imenichanganya sana!

Huyo rafiki yake anataka kuoa. Ana watoto na wanawake mbalimbali, lakini hajawahi kuoa. Mwezi ujao anafunga ndoa, kila kitu kimekamilika na matangazo ya kanisani yameshatolewa.
Sasa ameniambia kwamba kabla hajaoa, anataka nimzalie mtoto wa kumbukumbu!

Anasema akishaingia kwenye ndoa atakuwa bize, hatutakuwa tena na uhuru wa kukutana kama zamani. Kwa hiyo anataka nibebe mimba yake ili tubaki na kitu cha kutukumbusha mahusiano yetu.

Ukweli ni kwamba mimi pia natamani sana kumzalia, lakini nina wasiwasi. Hivi nikikubali kubeba mimba ya rafiki wa mume wangu, kweli haitaleta matatizo baadaye?

👇👇👇👇👇👇👇👇

(Copied and pasted)


OMBA TOBA NA REHEMAA SIKU SABA

YAAN UKIAMKA TOBA MCHANA REHEMA

OMBA JIONI USIONBE KINGINE OMBEA TOBA NA REHEMA YA NDOA YAKOOO

WHYKUNA WATU WENGI WANATESEKA NDOA ZAO KWA KUOA ANA KUOLEWA NA WAUME ZA WATU

WALE WALIOHAIDIWA KUNA WENGINE WAMESAMEHE WENGINE MAMA HAWAJUI SIO KUSAMEHE TU HATA KUSAHAU HIO KAMUSI HAWANAAA

KWANN

WANAUME WENGI WAMEHAIDI WANAWAKE NTAKUOA NA WENGINE HATA KUWA TEGEMEZI WAKITUNZWA BAADAE AKAKUONA WEWE

VVV

KUNA AMBAO WEWE ULIWAHIDI KWA UPENDO KABISA YAAN WEWE N BABA WATOTOWANGU MTARAJIWA KAMA VILE TAYARI KITU TUMBONI MWISHO UKAONA MMH HII MSALA BORA NIANZE MAPEMA

NEEMA KAMA AMEKUSAMEEHE LAKN KAMA ANAKITU MOYONI

CHA KWANZA OMBA TOBA KWA NDOA YAKO TOBA KWA ULIOWAHAIDI UTAOLEWA NAO KWA KUJUA AMA KUTOKUJUA SAMEHE WOTE WALIOKUUMIZA NA ULIOWAUMIZA THEN OMBA REHEMA KWA MUNGU HAIJALISHI ULITUMIA SH NGAPIZAO WALA WALITUMIA SH NGAPI ZAKO SAMEHE

AFTER SHUKURU MWAMBIE MUNGU AHSANTE KWA KUWA UMENISKIA UMENISAMEHE UMENIREHEMU NA KUANZIA SASA NDOA YANGU ITAKUWA NA FURAHA

KAMA MUME SIO MWOMBAJI OMBA REHEMA KWA NIABA YAKE PIA NA TOBA YAKE MUNGU AMSAMEHE KWA ALIEMJERUHI WAKATI WA UCHUMBA KWA KUJUA AMA KUTOKOJUA

OMBA SHUKRAN KWA AJILI YA MUMEOOO SOMA BAIBO WANAWAKE MTALIAAA KWA AJILI YETUU NA HAKUNA MAOMBI YANAYOWAHI KWA MUNGU KAMA YA WANAWAKE

7 DAYS USIOMBE PESA WALA CHOCHOTE WE N TOBA NA REHEMA MUNGU AKAFANYE NJIA AKAMBADILISHE MUMEO ZIPO NGUVU NYINGI SANA ZINAPAMBANA NA NDOA ZA WATU HADI KWA MA ASKOF NA MANABIII SISI NANI...

ILA MUNGU HAJAWAHI SHINDWA AKAIREHEMU NA KUITAKASA ILE SIKU ULIYOOLEWA NA KUKUPA FURAHA YA AMANI

PAST
Pdidy2026
No ya sadaka ileile mwisho 22
 
OMBA TOBA NA REHEMAA SIKU SABA

YAAN UKIAMKA TOBA MCHANA REHEMA

OMBA JIONI USIONBE KINGINE OMBEA TOBA NA REHEMA YA NDOA YAKOOO

WHYKUNA WATU WENGI WANATESEKA NDOA ZAO KWA KUOA ANA KUOLEWA NA WAUME ZA WATU

WALE WALIOHAIDIWA KUNA WENGINE WAMESAMEHE WENGINE MAMA HAWAJUI SIO KUSAMEHE TU HATA KUSAHAU HIO KAMUSI HAWANAAA

KWANN

WANAUME WENGI WAMEHAIDI WANAWAKE NTAKUOA NA WENGINE HATA KUWA TEGEMEZI WAKITUNZWA BAADAE AKAKUONA WEWE

VVV

KUNA AMBAO WEWE ULIWAHIDI KWA UPENDO KABISA YAAN WEWE N BABA WATOTOWANGU MTARAJIWA KAMA VILE TAYARI KITU TUMBONI MWISHO UKQONA MMH HII MSALA BORA NIANZE MAPEMA

NEEMA KAMA AMEKUSAMEEHE LAKN KAMA ANAKITU MOTONI CHA KWANZA OMBA TOBA KWA NDOA YAKO TOBA KWA ULIOWAHAIDI UTAOLEWA NAO KWA KUJUA AMA KUTOKUJUA SAMEHE WOTE WALIOKUUMIZA NA ULIOWAUMIZA THEN OMBA REHEMA KWA MUNGU

AFTER SHUKURU MWAMBIE MUNGU AHSANTE KWA KUWA UMENISKIA UMENISAMEHE UMENIREHEMU NA KUANZIA SASA NDOA YANGU ITAKUWA NA FURAHA

KAMA MUME SIO MWOMBAJI OMBA REHEMA KWA NIABA YAKE PIA NA TOBA YAKE MUNGU AMSAMEHE KWA ALIEMJERUHI WAKATI WA UCHUMBA KWA KUJUA AMA KUTOKOJUA

OMBA SHUKRAN KWA AJILI YA MUMEOOO SOMA BAIBO WANAWAKE MTALIAAA KWA AJIKI YETUU NA HAKUNA MAOMBI YANAYOWAHI KWA MUNGU KAMA YA WANAWAKE

7 DAYS USIOMBE PESA WALA CHOCHOTE WE N TOBA NA REHEMA MUNGU AKAFANYR NJIA AKAMVADILISHE MUMEO ZIPO NGUVU NYINGI SANA ZINAPAMBANA NA NDOA ZA WATU HADI KWA MA ASKOF NA MANABIII SISI NANI...ILA MUNGU HAJAWAHI SHINDWA AKAIREHEMU NA KUITAKASA ILE SIKU ULIYOOLEWA NA KUKUPA FURAHA YA AMANI

PAST
Pdidy2026
No ya sadaka ileile mwisho 22
Noted
 
100% Tatepa! 🚮

images (1).jpeg
 
Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake.

Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na kukubaliana jambo, akienda kuongea na rafiki yake anarudi na kubadilisha maamuzi. Mwanzoni nilikuwa nakasirika, lakini baadaye nikagundua kwamba nikitaka kitu kutoka kwa mume wangu, ni bora niongee na rafiki yake. Akimshawishi, mume wangu anakubali.

Hali hiyo ilitengeneza mazoea kati yangu na huyo rafiki yake, mpaka tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Sasa mume wangu ana tabia moja, tukigombana ananifukuza nyumbani. Ananiambia, "Rudi kwenu, chukua vitu vyako!"

Mwanzoni alikuwa akinifukuza, namtafuta rafiki yake amshawishi anisamehe. Wakati mwingine naenda kwetu, nakaa siku chache, halafu narudi.

Lakini baada ya kuanza mahusiano na rafiki yake, mambo yakabadilika. Mume wangu akinifukuza, naenda moja kwa moja kwa rafiki yake. Nakaa naye hata wiki nzima, halafu tukichokana, anamtafuta mume wangu na kumwambia, "Mrudishe mke wako, sasa hivi atakuwa ameshajifunza."

Mume wangu ananikubali na mimi narudi nyumbani kama hakuna kilichotokea.
Hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi mpaka sasa tuna watoto. Wakati mwingine hata bila kugombana, tukimissiana na huyo rafiki yake, tunapanga mpango. Mimi nafanya kakituko kidogo, mume wangu anakasirika na kumtafuta rafiki yake.
Rafiki yake anamwambia, "Huyu bado hajajifunza, mrudishe kwao kwanza!"

Mume wangu ananifukuza, mimi najifanya nimeenda kwa ndugu zangu, kumbe naenda kukaa kwa rafiki yake. Tukimaliza mambo yetu, ananishawishi nirudi kwenye ndoa yangu.

Lakini sasa hivi kumetokea changamoto ambayo imenichanganya sana!

Huyo rafiki yake anataka kuoa. Ana watoto na wanawake mbalimbali, lakini hajawahi kuoa. Mwezi ujao anafunga ndoa, kila kitu kimekamilika na matangazo ya kanisani yameshatolewa.
Sasa ameniambia kwamba kabla hajaoa, anataka nimzalie mtoto wa kumbukumbu!

Anasema akishaingia kwenye ndoa atakuwa bize, hatutakuwa tena na uhuru wa kukutana kama zamani. Kwa hiyo anataka nibebe mimba yake ili tubaki na kitu cha kutukumbusha mahusiano yetu.

Ukweli ni kwamba mimi pia natamani sana kumzalia, lakini nina wasiwasi. Hivi nikikubali kubeba mimba ya rafiki wa mume wangu, kweli haitaleta matatizo baadaye?

👇👇👇👇👇👇👇👇

(Copied and pasted)
upumbavu wa mwanamke umekaa sehemu mbaya sana ya mwili wake dah!🐒
 
Mungu ajawahi kushindwa ma sister nami ntakuwa na wewe kwenye maombi yangu ya mfungo alhamishi ijayo na jnne

Wengine tumepitia mbali tukiandija hapa mpaka mbagala lakini Mungu akaingilia kati na sasa tuko huru
Mimi tena?
 
Back
Top Bottom