Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,661
- 31,938
Gahawa...☕️☕️☕️
Yani na nyie kumbe huwa mnatamani mngeweza kuwa na waumewenza muwapange, ukimchoka huyu bwana mkubwa kakuzingua, unakwenda kwa bwana mdogo?Inategemea sasa hapo
La msingi kuanza nalo ni kama kweli weww una mume, au kutuchosha tu na stori za kubeba hukoo kuleta hukuu
Yaani inashangaza sana namna ambavyo huyo mwanamke anavyotafuta ushauri na uhalali wa kuivunja au kuivuruga ndoa yake.kwa udi na uvumba,Daaaa!
Na ukiwa na mwanaume wa hivi unapaswa kuchukua hatua zipi?Yaani inashangaza sana namna ambavyo huyo mwanamke anavyotafuta ushauri na uhalali wa kuivunja au kuivuruga ndoa yake.kwa udi na uvumba,
kisa tu alifanikiwa kufanya uchafu wote alioufamya bila mumeo kugundua.
Ukiskia kujiandalia aina ya maafa yako mwenyewe, ndio huko sasa, mwanamke anafanya bidii kuifanya dhambi kua haki na halali isikostahili.
Huruma ya Mungu na iwe pamoja nasi sote sasa na hata milele.
Aimen 🙏
Acha ujinga mara moja, au mzalie ujute.Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake.
Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na kukubaliana jambo, akienda kuongea na rafiki yake anarudi na kubadilisha maamuzi. Mwanzoni nilikuwa nakasirika, lakini baadaye nikagundua kwamba nikitaka kitu kutoka kwa mume wangu, ni bora niongee na rafiki yake. Akimshawishi, mume wangu anakubali.
Hali hiyo ilitengeneza mazoea kati yangu na huyo rafiki yake, mpaka tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Sasa mume wangu ana tabia moja, tukigombana ananifukuza nyumbani. Ananiambia, "Rudi kwenu, chukua vitu vyako!"
Mwanzoni alikuwa akinifukuza, namtafuta rafiki yake amshawishi anisamehe. Wakati mwingine naenda kwetu, nakaa siku chache, halafu narudi.
Lakini baada ya kuanza mahusiano na rafiki yake, mambo yakabadilika. Mume wangu akinifukuza, naenda moja kwa moja kwa rafiki yake. Nakaa naye hata wiki nzima, halafu tukichokana, anamtafuta mume wangu na kumwambia, "Mrudishe mke wako, sasa hivi atakuwa ameshajifunza."
Mume wangu ananikubali na mimi narudi nyumbani kama hakuna kilichotokea.
Hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi mpaka sasa tuna watoto. Wakati mwingine hata bila kugombana, tukimissiana na huyo rafiki yake, tunapanga mpango. Mimi nafanya kakituko kidogo, mume wangu anakasirika na kumtafuta rafiki yake.
Rafiki yake anamwambia, "Huyu bado hajajifunza, mrudishe kwao kwanza!"
Mume wangu ananifukuza, mimi najifanya nimeenda kwa ndugu zangu, kumbe naenda kukaa kwa rafiki yake. Tukimaliza mambo yetu, ananishawishi nirudi kwenye ndoa yangu.
Lakini sasa hivi kumetokea changamoto ambayo imenichanganya sana!
Huyo rafiki yake anataka kuoa. Ana watoto na wanawake mbalimbali, lakini hajawahi kuoa. Mwezi ujao anafunga ndoa, kila kitu kimekamilika na matangazo ya kanisani yameshatolewa.
Sasa ameniambia kwamba kabla hajaoa, anataka nimzalie mtoto wa kumbukumbu!
Anasema akishaingia kwenye ndoa atakuwa bize, hatutakuwa tena na uhuru wa kukutana kama zamani. Kwa hiyo anataka nibebe mimba yake ili tubaki na kitu cha kutukumbusha mahusiano yetu.
Ukweli ni kwamba mimi pia natamani sana kumzalia, lakini nina wasiwasi. Hivi nikikubali kubeba mimba ya rafiki wa mume wangu, kweli haitaleta matatizo baadaye?
👇👇👇👇👇👇👇👇
(Copied and pasted)
kulingana na title, si kila uzi nasoma mpaka mwishoMwisho imeandikwa copied and pasted,so kaz kwako kushare maoni yako tutamtumia comment yako muhusika uko Facebook
Sasa huo ni mtizamo wako, insecurities. Hapo ugomvi uko wapi kama sio kujishtulia kwako tu?Unaonekana unapenda sana ugomvi.Nani kakuita hapa labda.
Pita hivi 👉👉👉👉👉.
ila ukiwa unajaza Makura feki kwenye kisanduku Mungu huwa hana huruma😹😹.Huruma ya Mungu na iwe pamoja nasi sote sasa na hata milele.
Aimen 🙏
Gentleman,ila ukiwa unajaza Makura feki kwenye kisanduku Mungu huwa hana huruma😹😹.
Wewe na mumeo ni wambea, malimbukeni ni mafala. Mzalie kama wewe ni fala hivyo. Ngoja aoe uone utakavyojilaumu au siri siku ikifichuka mumeo akakutia kilema au kukuuua. Je, wewe ni mchaga maana ndiyo wenye hizo?Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake.
Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na kukubaliana jambo, akienda kuongea na rafiki yake anarudi na kubadilisha maamuzi. Mwanzoni nilikuwa nakasirika, lakini baadaye nikagundua kwamba nikitaka kitu kutoka kwa mume wangu, ni bora niongee na rafiki yake. Akimshawishi, mume wangu anakubali.
Hali hiyo ilitengeneza mazoea kati yangu na huyo rafiki yake, mpaka tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Sasa mume wangu ana tabia moja, tukigombana ananifukuza nyumbani. Ananiambia, "Rudi kwenu, chukua vitu vyako!"
Mwanzoni alikuwa akinifukuza, namtafuta rafiki yake amshawishi anisamehe. Wakati mwingine naenda kwetu, nakaa siku chache, halafu narudi.
Lakini baada ya kuanza mahusiano na rafiki yake, mambo yakabadilika. Mume wangu akinifukuza, naenda moja kwa moja kwa rafiki yake. Nakaa naye hata wiki nzima, halafu tukichokana, anamtafuta mume wangu na kumwambia, "Mrudishe mke wako, sasa hivi atakuwa ameshajifunza."
Mume wangu ananikubali na mimi narudi nyumbani kama hakuna kilichotokea.
Hali hiyo imeendelea kwa miaka mingi mpaka sasa tuna watoto. Wakati mwingine hata bila kugombana, tukimissiana na huyo rafiki yake, tunapanga mpango. Mimi nafanya kakituko kidogo, mume wangu anakasirika na kumtafuta rafiki yake.
Rafiki yake anamwambia, "Huyu bado hajajifunza, mrudishe kwao kwanza!"
Mume wangu ananifukuza, mimi najifanya nimeenda kwa ndugu zangu, kumbe naenda kukaa kwa rafiki yake. Tukimaliza mambo yetu, ananishawishi nirudi kwenye ndoa yangu.
Lakini sasa hivi kumetokea changamoto ambayo imenichanganya sana!
Huyo rafiki yake anataka kuoa. Ana watoto na wanawake mbalimbali, lakini hajawahi kuoa. Mwezi ujao anafunga ndoa, kila kitu kimekamilika na matangazo ya kanisani yameshatolewa.
Sasa ameniambia kwamba kabla hajaoa, anataka nimzalie mtoto wa kumbukumbu!
Anasema akishaingia kwenye ndoa atakuwa bize, hatutakuwa tena na uhuru wa kukutana kama zamani. Kwa hiyo anataka nibebe mimba yake ili tubaki na kitu cha kutukumbusha mahusiano yetu.
Ukweli ni kwamba mimi pia natamani sana kumzalia, lakini nina wasiwasi. Hivi nikikubali kubeba mimba ya rafiki wa mume wangu, kweli haitaleta matatizo baadaye?
👇👇👇👇👇👇👇👇
(Copied and pasted)
Visa vya wanandoa kutoana roho havitaisha.Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake.