Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,015
- 95,397
Siku yule jamaa yako akifa utasononeka sana...Inasikitisha sana, pole. May her soul continue to rest in eternal peace.
Bahati nzuri ni kuwa wote tutakufa afu mbele ya Mungu hakuna cha mtoto wa mwanadamu aliyependwa sana...
Kitakuwa kilio cha kusaga meno...
Ole wao waliotumia mamlaka yao vibaya... Ole wao wanaounga mkono udhalimu.