19 records studio
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 421
- 1,085
R. I. P
rest in power
Neema
rest in power
Neema
Tatizo mkiolewa mnatusahau wazazi wenuNi njema tu, hbr za kunitenga? Babu unapoteza umaarufu sasa, hutafuti wajukuu zako siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote mawazo ya mpumbavu niya fikra finyu kama zako na sababu kwakuwa inakula mavi....ulimsaidia pale mwanzoni ila baadae 'ulijilipa';
.bisha
Hilo ndilo jibu hakika tutakufa,hata huyo myesaji wa watu wala hakuna siku atapewa taji ya kutesa watu zaidi ya nani hakika utakufa MUNGU hakutuleta kwa maksudi ya kujiona ni bora kuliko wengine bali kuishi ktk haki na kweli tena kwa uhuru wa kukosoana na kuelezana ukweli kitu limekuwa na roho mbaya nafuu ya Hitra mtu gani huyu eti msema kweli mpenzi wa MUNGU huku lina vikosi vya kuteka watu kuua na kufunga watu bila sababu lkn hakuna kitakachobaki zaidi ya mauti na majibu yapo lkn pia hapa hapa dunia pia kunamajibu kwa yule mrevi anayemfuata mara ya pili.Mwengine akiwa anapokea mshahara kama M hivi. Anajiona kama ataishi milele na atataka kukutawala kwa kila kitu. Wengine wamefukuzwa kazi kwasbb ya roho mbaya walizonazo mabos wao.
YOTE KWA YOTE IPO SIKU TUTAKUFA
Ww ubarikiwe kwa yote uliyoyatenda achana na fikra za wapumbavuNingesema,sina nachoogopa ndugu.nilitoa msaada kama MUNGU alivyompangia mgonjwa
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
....shangazi upo kwenye siku zako na huna hela ya pedi?Siku zote mawazo ya mpumbavu niya fikra finyu kama zako na sababu kwakuwa inakula mavi.
Sent using Jamii Forums mobile app