R.I.P Neema

R.I.P Neema

you have a good heart, Mungu atakulipa kwa msaada na maombi uliyoyafanya kwa binti huyo. Roho ya Marehemu Neema ipumzike kwa amani, Amina!
 
you have a good heart, Mungu atakulipa kwa msaada na maombi uliyoyafanya kwa binti huyo. Roho ya Marehemu Neema ipumzike kwa amani, Amina!
Amen..

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mimi mgumu sana,ila hapa nimeingiwa na huruma RIP NEEMA.

Akili za usiku
 
moja ya uzi ulionisikitisha mno ndani ya JF,u try hongera sana that's why its important to try to make a small different a day kwa wanaotuzunguka,RIP DADA NEEMA,wote tupo safari moja
 
Hii Story imenitoa machozi

Mwenyezi mungu aiweke rogo ya Neema mahali pema peponi
 
Back
Top Bottom