R.I.P Neema

R.I.P Neema

Kaka Mungu akubariki daima kiukweli nimependa kuona jinsi gani ulionyesha utu mwingine angeanza zarau au angemjibu vibaya dahhhh nandoma ulipoto msaada kwake naulitoa KWA moyo Mungu alikufanyia miujiza ukapata Kazi nzuri zaid yauliokuwa unafanya hii ni kwa wema uliomtendea nduguyo pia huenda Mungu pia alitaka kupima imani yako kupitia Neema nawewe ulionyesha utii Na kujali hakika Mungu alikubarik toka siku unamsaidia Na siku ulioikataa ile ela hospital kuonyesha ulijali utu kuliko pesa Na hata siku unamsaidia ya dawa Mungu akubariki ,amekubariki Na kukuzidishia kazana moyo huo huo usiache kutoa sadaka kumkumbuka Mungu ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen..

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Hii Jah rastafari morning Africa ni kitu gani?
Rastafari use the terms 'JAH' or sometimes..Jah Jah! as a term for the Lord GOD of Israel and or Haile Selassie,who some Rastafarians regard as the incarnation of the GOD of the old testment or as the reincarnation of JESUS CHRIST who is also known by the title Janhoy.

Morning Africa..ni chachu ya kumuamsha Mtu mweusi ajitambue na kuthamini utu wake maana tunaamini chanzo cha dunia,nguvu ya uUngu ni kutoka Africa hasa Cush (Ethiopia ya leo) na tulikua na mpigania uhulu na haki ya mtu mweusi ambae ni Haile Selassie aliyekua mfalme wa Cush.

Kiufupi neno hilo kutoka kichwani mwangu ni sawa na imani zingine zenye kusema Shalom,Bwana Asifiwe,Asalam Aleykum na mengine mengi

Kikubwa zaidi ya yote ni UPENDO UPENDO UPENDO

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
images.jpg
 
Back
Top Bottom