R.I.P Neema

R.I.P Neema

huna hata picha yake mkuu!itunze sana !endelea utenda wema maisha yako!@Neybright njoo huku! nimeumia kweli kweli! bora afe jina jingne uwiii
 
Nimeisoma.Mwenyezi Mungu atakulipa kwa mema uliyotenda.Tunakuombea uishi katika imani ya upendo.R.I.P NEEMA
 
Usiwaze pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili neno la pambana na hali yako limekua maarufu sana hapa nchini, sidhani kama ni neno zuri kwa mwanadamu..tunaishi kwa kutegemeana,hebu lichomoe jicho moja la kushoto then uliambie la kulia lipambane na hali yake

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Dunia ina homa ila watu wema bado wapo pia.
You played a big role ktk kupigania uhai wake.
Mungu akujaalie zaidi... pengine ni possibly mlango ulifunguka ukapata hiyo kazi nzuri baada ya huo usamaria ulomfanyia Neema. Mungu wetu hulipa.
R. I. P Neema

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom