mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,287
- 9,156
Nilitoka mkoa wa Dodoma nikiwa naelekea Songea kwenye makaa nilipofika mkoa wa iringa nikasema ngoja nipoe kimtindo maana ilikuwa usiku kutokana na baridi ya pale Mafinga nikamwambomba "boda" alie nitafutia geust anitafutie na mtoto mzuri, maana si unajua ugeni.
kweli jamaa akawa ameniacha geust nilipofikia sikujua alipokwenda nitafutia huyo mrembo, kutokana na kupenda mitungi nikawa nimetoka pale geust na kuacha maagizo kwa muhudumu,
Baada ya muda kidogo yule bodaboda akanipigia simu tayari amempata nikamwambia maagizo nimeacha kwa muhudumu, sikukawia nikawa nimerudi pale geust muhudumu akaniambia tayari mgeni wako yupo chumbani
Ile nafika chumbani nakuta mpenzi wangu ambae alinidanganya anaenda kwa wazazi wake!!
hapo wewe ungefanyaje?