R.I.P Neema

Wewe ni great thinker, hongera sana. Unajua Mungu huja ktk mazingira usiyoyategemea, ulipanda mbengu njema na matunda lazima utayala mengi na utafaidi. Big up!

Simulizi inavutia, nimeisoma yote!
Aksante ndugu..ubarikiwe

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Hii ndio maaana ya neno ubinaadamu na ndivyo MUNGU katuagiza tuishii..
Namshukuru Mungu kunipa moyo wa kusaidia watu japo sina uwezo!
Siwez mpita ombaomba kama nachochote mfukonii..

RIP NEEMA unajina kama la mdogo wangu nimpendae..
MUNGU akujalie ndugu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Hongera sana mkuu kwa msaada uliyotoa.

Vipi bado mna mawasiliano na mdogo wake? Kwa sababu kitendo ulichofanya kilitakiwa kijenge familia.
Alishakua zaidi ya ndugu,hata yeye hua ni kama haamini,hata mimi nilivishwa tu ile roho na si kwa uwezo wangu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Alishakua zaidi ya ndugu,hata yeye hua ni kama haamini,hata mimi nilivishwa tu ile roho na si kwa uwezo wangu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Safi sana.

Kuna siku moja hapa hapa duniani utapata msaada kwa aina tofauti.

Lakini usiisubirie hii siku. Itakuja kwa wakati wake.

Lakini usipolipwa hapa duniani, tukifika Mbinguni, mkumbushe Mungu hiki kisa.
 
Alishakua zaidi ya ndugu,hata yeye hua ni kama haamini,hata mimi nilivishwa tu ile roho na si kwa uwezo wangu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA[/QUOTE
huyo mdogo wake marehem ni wa kike au wa kiume? tashkuru kama mtoa mada utanijibu kuna mengi yatafuata
 
Najua penye unataka kwenda,ni wa kike na ni mke wa mtu mwenye watoto pia.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Back
Top Bottom