majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 1,710
- 1,967
poleni na majukumu
Kuna dada tulikuwa na mazoea kias tu uwa tunawsiliana vyema Sasa Leo halikuwa na shida na bidhaa Fulani akaniomba kuwa nkielekea maneno ya mjini nmchukulie
Kweli join nkatoka home nikawasha pikipik yangu (tvs) mpaka maneno ya sokoni nkabeba mahitaji yangu Kisha nkampigia simu kumuuliza kuhusu aina ya bidhaa anayoitaka
Bas nkamchukulia Kisha nkawa narudi home baada ya kumpelekea Ile bidhaa akaanza kuikataa na kusema hajaridhikanayo mim Kwa u pole nikamwambia sawa nmekuelewa Kisha nikaichukua Ile bidhaa mpaka home
Baada ya kufika home nikajiuliza yule binti ananichukuliaje na jinsi mafuta yamepanda Bei hiv then amenisumbua kiasi hiki au anajiona mzuri sana na anauwezo wa kumuendesha kila mwanaume nkapata jibu la kumpigia simu
Nlichomwambia ni Kwa lugha ya upole tuuh asma akaitaka abeeh Kisha nikamwambia afute namba yangu na asijewahi kunitafuta Tena baada ya hapo nikamblock Kisha nkaifuta namba yake
Watoto wa 2000 muache kujifanya majinoooh
Sio kila mwanaume ana interest ya mapenzi na kupelekeshwa