Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,374
- 161,378
Mie nimejikuta nalia tuu... Mungu atuhurumie kwa kweeeli na atupe kifo chemaImeniuma kama namjua vile... dah
Afu tulio wazima tuna kiburi cha ajabu
Eee Mola tunusuru..
Mie nimejikuta nalia tuu... Mungu atuhurumie kwa kweeeli na atupe kifo chemaImeniuma kama namjua vile... dah
Afu tulio wazima tuna kiburi cha ajabu
Eee Mola tunusuru..
Usife kabla yangu tafadhali. Nimechoka kusononeka asee...Mie nimejikuta nalia tuu... Mungu atuhurumie kwa kweeeli na atupe kifo chema
Labda tufe pamoja, mwenziooo nimechoka kuhuzunika piaUsife kabla yangu tafadhali. Nimechoka kusononeka asee...
JamaniiiiiLabda tufe pamoja, mwenziooo nimechoka kuhuzunika pia
Usisikitike ndo ukweli babu, naomba uupokeeJamaniiiii
Sakayo wangu... huku si kwa kukukimbilia... kunatisha...Usisikitike ndo ukweli babu, naomba uupokee
Na kunatisha zaidi unapoona umpendae anatangulia humo, babu tutaendamo wote..... Sina tena machozi mieeeSakayo wangu... huku si kwa kukukimbilia... kunatisha...
Hahahah yani wewe Sakayo wewe... kweli unapenda mimim niende huko?Na kunatisha zaidi unapoona umpendae anatangulia humo, babu tutaendamo wote..... Sina tena machozi mieee
Swahiba... heri ya sikukuu nyingi... tuanzie na ya Sabasaba...RIP Neema.... Ulijitahidi kuupigania uhai wako lkn Mungu akisema rudi hakuna wa kupinga.....
Mkuu Mungu akubariki
kwa kujitoa kwako though inasikitisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaondoka wote ujueHahahah yani wewe Sakayo wewe... kweli unapenda mimim niende huko?