Madikteta hawaishagi vitukoCheck hiyo salute![]()
Madikteta hawaishagi vitukoCheck hiyo salute![]()
Mwamba kama mwamba![]()
na Mimi Nina t shirt kama hiiMama yako hadi kaigiza movie ya royo tua na humwiti diki-tetaMadikteta hawaishagi vituko
Ndivyo ilivyo demokrasia ila kwa madikteta kama putin hata afanye upuuzi gani ana uhakika na kiti chake!Biden akisikia jina Putin, anaanza kulia lia macho yanajaa machozi na uso unajaa simanzi, sbb urais wake ndio basi tena, Urusi imemharibia sana, yaani rating yake imekuwa chini sana, Putin kawanyoosha sana aisee
Basi we ni mchizi wake kabisa💴💴💶💷🙌🏻🙌🏻🙌🏻na Mimi Nina t shirt kama hii
Lengo lilikuwa kuiba nganoMbona Estonia na Latvia ni majirani wa Russia walio NATO na hajawavamia mpaka sasa??
Mbona Finland imeomba kujiunga na NATO na hajaivamia mpaka sasa??
Kwa nini Ukraine ambayo haijawahi hata kusema inataka kujiunga NATO??

Utanyooshwa tu😅😅Naona unatupia vitu unavyovipenda we shoga. Endelea kuuza matako mi skutaki
Mkuu calm down plseMama yako hadi kaigiza movie ya royo tua na humwiti diki-teta

Hatari sana 😃😃Hapa bongo Kuna watu Wana connection mpaka Na Putin 😃😃
Kuipasua UKRAINE nizaidi ya msaada MKUUHuyo putin kaisaidia nini Russia zaidi ya udikteta tu na nguvu za kijeshi,kwa rasilimali ilizonazo urusi inashindwaje kuwa hata katika G5?Russia na north korea umaarufu wao ni kupingana na nato basi mwenzao China mjanja kabadili mfumo wa kiuchumi sasa yuko juu.
Humu Jf Kuna watu wa ajabu toka Lin Poland ikapakana na UrusiMpaka upi
Huyo jmaa yupo sahihi
Nimepoa mkuuMkuu calm down plse![]()
Humu Jf Kuna watu wa ajabu toka Lin Poland ikapakana na Urusi
Sababu za kiusalama
Humu mda mwengine tunabishana na vichaa Ila ndio hatujui tu
Ni vita ya kipumbavu kweli kweli.Vita ya kipumbavu, wenye akili wame mpuuza ndio maana sasa hivi hakuna anae iongelea
Vyombo mbalimbali vya habari nchini Urusi vimeripoti kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin ameingia katika eneo la Kremlin takribani saa tano (2300) usiku huu katika hali iliyotafsiriwa kuwa ya ghafla sana.
Sababu ya Putin kutembelea Kremlin ghafla wakati wa usiku bado haijulikani na haijawekwa wazi japokuwa wachambuzi wa mambo wanadai kuwa jambo hili linaashiria kuwepo kwa dharura inayoweza kutangazwa muda wowote na Kremlin.
Baadhi ya barabara za mitaa ya jiji la Moscow ilifungwa ili kupisha msafara wa rais Putin.
Haahaahaa!!!Mkuu kwamba Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na Sudan?
Never knew about that
Sasa ww babu zako walivaa magamba ya miti wakati babu za kina putin walikuwa wanagundua mabomu ya nuclear..kenge kama ww jeusi kaa mkaa unaongea pumba tuu..putin anawapuuza tuu watu kama nyie..mana hata simu ulionayo imetoka kwao..huna la kujisifia. Nyie zenu ni kushabikia harmonize akiona..mara kupaka mkongo..mara nguvu za kiumee..mavi matupu mijitu mieusiiSasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon