Putin atinga Kremlin ghafla

Putin atinga Kremlin ghafla

Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Kanywe mataputapu mpaka leo hujui sababu ya Russia kuivamia Ukraine?
 
Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Ukiwawaeleza Pro Russia hawaelewi.Miaka ya sasa uwezi kuchukua nchi au kipande cha ardhi cha nchi nyingine kwa vita hata cha mtu tu uwezi dunia imebadilika ila putin bado sana
 
Back
Top Bottom