1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu ndio kipindi ambacho China alinunua teknolojia nyingi za kijeshi kutoka makampuni ya Russia na kuhamisha wanasayansi wake. Ndio kipindi wataalamu wa Russia walihama nchi kwa wingi. Uchumi haukuwa unaruhusu kufanya uvamizi kwanza ndani kwenyewe hali ya usalama haikuwa kubwa.
Ukraine pekee ndio ilisaini mkataba mwaka 1991 kwamba iharibu silaha za nyuklia, Marekani ikatoa fedha na Urusi ikatoa guarantee kwamba haitovamiwa na ikapewa guarantee kwamba Ukraine haitojiunga NATO.
Mwaka 2014 Urusi ikaivamia Ukraine na kuchukua Crimea, bado ikaendelea kuzitenga Donetsk na Luhansk. Kwahiyo huo mkataba ulishavunjwa tangu 2014