Putin atinga Kremlin ghafla

Putin atinga Kremlin ghafla

Sababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
Wewe ndio huna mashiko MKUU sababu huwez ukaliamuru taifa teule liendeshe OP yake sehem fulani
Sisi WARUSI weusi na weupe tumeona sehem sahihi yakuipreshen ni hapo UKRO NATO
Kama imewauma saana nanyie pelekeni JESHI kama hamuwezi kaeni kwakutuliiia kabisa
RUSSIA TAIFA TEULE
 

Attachments

  • FB_IMG_1652967410427.jpg
    FB_IMG_1652967410427.jpg
    35.9 KB · Views: 13
Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Akili zako ni za Kitanzania. Ndio maana leo nimeona Jeshi la Tz bado lina tumia bunduki za 1980s
 
Busara inasema ni heri mtu anayekaa kimya ili kuficha mapungufu yake. Sasa wewe unaongea saana hadi tumeshajua uwezo wako. Anyway hata Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na Sudan
Mkuu kwamba Tanzania imepakana na Zimbabwe, Somalia na Sudan?
Never knew about that
 
Back
Top Bottom