Putin atinga Kremlin ghafla

Putin atinga Kremlin ghafla

We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Hawa warus wa jamii forum vilaza sana mkuu ,hawaelew hata chanzo cha hii vita wanaropoka tuu ila kwa kuwadokezea Ukraine ndio chimbuko la taifa la urusi ,tena lilichipukia jiji la kyiv.hivyo hii vita wanaojua sir ni Putin na wazee wa nchi ,wala ishu ya kuweka jeshi Ukraine halimsumbui Russia ,kiufupi haya mataifa mawili yana mengi tusiyoyafahamu
 
Hawa Warusi wa buza wanarudia propoganda za Putin kama Kasuku tu na ushabiki wa Simba na Yanga.

Ukiwauliza wapi Ukraine ilisema au ilituma maombi ya kujiunga na NATO hawana majibu.

Ukiwauliza kwa nini Finland ambayo imetuma maombi rasmi ya kujiunga na NATO haijavamiwa na Putin mpaka sasa wanatoa macho tu kama mjusi aliyebanwa na mlango.
Sababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
 
Mbona Estonia na Latvia ni majirani wa Russia walio NATO na hajawavamia mpaka sasa??

Mbona Finland imeomba kujiunga na NATO na hajaivamia mpaka sasa??

Kwa nini Ukraine ambayo haijawahi hata kusema inataka kujiunga NATO??

Jamaa huwa wanakurupuka vitu ambavyo wanaaminishwa vijiweni, mara Ukraine inatawala kwa mashoga duniani, mara inataka kujiunga NATO.
 
Hawa warus wa jamii forum vilaza sana mkuu ,hawaelew hata chanzo cha hii vita wanaropoka tuu ila kwa kuwadokezea Ukraine ndio chimbuko la taifa la urusi ,tena lilichipukia jiji la kyiv.hivyo hii vita wanaojua sir ni Putin na wazee wa nchi ,wala ishu ya kuweka jeshi Ukraine halimsumbui Russia ,kiufupi haya mataifa mawili yana mengi tusiyoyafahamu
Sasa unasemaje wengine Hawajui,wakati hata menyewe unasema yapo mengi tusiyo ya sahau
 
Vita ya kipumbavu, wenye akili wame mpuuza ndio maana sasa hivi hakuna anae iongelea
Marekani kapigana vita za kipumbavu kabla ya ww kuzaliwa, ni taifa jinga duniani hakuna mfano wako, ni taifa lililouwa watu hakuna mfano wake, ni taifa lililotumia Nuclear pekee kwahio unasemaje kuhusu hili, halafu mukiitwa manyani huwaga mnakasirika wapuuzi nyinyi
 
Acha kukasirika basi futa hio weka hii
 
Attachments

  • FB_IMG_1653318258238.jpg
    FB_IMG_1653318258238.jpg
    72 KB · Views: 9
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
Sasa mpuuzi si yupo madarakani awatoe nao
 
Bro starting from cold world War. Cuban missiles na Turkey military base ya marekan. Mpk kufika kwa Gorbachev Rais wa 8 wa shirikisho la ussr kuja mpk kuisambaratisha ussr hatuwezi kusema kuwa 1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu. Hapana mifumo ilisababisha hayo yote na kutokana na upuuzi wa Gorbachev kuside na USA. Ndo maana nimesema 1989 mpk 1992 ndipo Russia ilipokuwa hovyo kutokana na uongozi uliokuwepo. But angekuwepo Putin asingekubali hilo. That's why 2 yrs baadae baada ya 14 countries kujiunga na NATO putin kuingia madarakani 1999 alitaka kwanza kuanza kuirudisha Alaska irudi Russia kwakuwa was sold out to USA 1867.
Hivyo hoja siyo uchumi hoja ni uongozi.
Pia kuhusu Nuclear zilizokuwepo Ukraine... Ukraine hakuwa na uwezo wa kuzihudumia the only means Russia kwakuwa alikuwa na mpngo wake huu tokea kitambo akazirudisha kwake na akawaambia yeye atazihudumia but zile ambazo hazikuweza kuondolewa Ukraine walizitekezea ardhini. Na pia ukae ukijua kuwa kila nchi iliyokuwa ndani ya ussr ilikuwa na nuclear weapons. So Russia alihakikisha zote zimekuwa free from nuclear weapons kwakuwa walimsaliti.
Huyo putin kaisaidia nini Russia zaidi ya udikteta tu na nguvu za kijeshi,kwa rasilimali ilizonazo urusi inashindwaje kuwa hata katika G5?Russia na north korea umaarufu wao ni kupingana na nato basi mwenzao China mjanja kabadili mfumo wa kiuchumi sasa yuko juu.
 
Back
Top Bottom