Underwood
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 1,908
- 3,134
Vyombo mbalimbali vya habari nchini Urusi vimeripoti kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin ameingia katika eneo la Kremlin takribani saa tano (2300) usiku huu katika hali iliyotafsiriwa kuwa ya ghafla sana.
Sababu ya Putin kutembelea Kremlin ghafla wakati wa usiku bado haijulikani na haijawekwa wazi japokuwa wachambuzi wa mambo wanadai kuwa jambo hili linaashiria kuwepo kwa dharura inayoweza kutangazwa muda wowote na Kremlin.
Baadhi ya barabara za mitaa ya jiji la Moscow ilifungwa ili kupisha msafara wa rais Putin.