Putin atinga Kremlin ghafla

Putin atinga Kremlin ghafla

Za chinikwachini inasemekana kuwa international war inagonga hodi, acha tusubir nn kitajiri
Putin anaishi Nova Ogaryovo nje kidogo na katikati ya mji wa Moscow. Na sio kila siku anaenda Kremlin ambapo ndio kuna ofisi
 
kwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !

mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
Watu ni wa puuzi sana. Yaani Putin aendelee kuona ujinga uliofanyika kusambaratisha ussr na kuvunja Warsaw pact ukifanyika tena
 
Sababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATO
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
 
Cuba mbaliiii let say waweke kambi Canada au Alasaka vile
Cuba mbaliiii let say waweke kambi Canada au Alasaka vile
Alaska ni eneo la Marekani na Russia ndio aliliuza mwenyewe. Canada ina uchumi kuizidi Russia, na Russia hana cha kufuata Canada. Anaenda kumlinda dhidi ya nani sasa wakati Canada ni NATO member. Hapo tuiseme Mexico au Cuba
 
Sasa huyo Putin ni immortal?
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
 
Attachments

  • FB_IMG_1651063516734.jpg
    FB_IMG_1651063516734.jpg
    9.4 KB · Views: 14
Kwa akili zako Estonia, Lativia na Lithunia wana ardhi kubwa kama ilivyo Ukraine? By the way wale walijiunga NATO Putin aliwa hayuko madarakani na kwa taarifa yako 1997 Putin angekuwa madarakani wale wapuuzi wasingejoin NATO
1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu ndio kipindi ambacho China alinunua teknolojia nyingi za kijeshi kutoka makampuni ya Russia na kuhamisha wanasayansi wake. Ndio kipindi wataalamu wa Russia walihama nchi kwa wingi. Uchumi haukuwa unaruhusu kufanya uvamizi kwanza ndani kwenyewe hali ya usalama haikuwa kubwa.

Ukraine pekee ndio ilisaini mkataba mwaka 1991 kwamba iharibu silaha za nyuklia, Marekani ikatoa fedha na Urusi ikatoa guarantee kwamba haitovamiwa na ikapewa guarantee kwamba Ukraine haitojiunga NATO.
Mwaka 2014 Urusi ikaivamia Ukraine na kuchukua Crimea, bado ikaendelea kuzitenga Donetsk na Luhansk. Kwahiyo huo mkataba ulishavunjwa tangu 2014
 
Bro starting from cold world War. Cuban missiles na Turkey military base ya marekan. Mpk kufika kwa Gorbachev Rais wa 8 wa shirikisho la ussr kuja mpk kuisambaratisha ussr hatuwezi kusema kuwa 1997 Russia ilikuwa na uchumi mbovu. Hapana mifumo ilisababisha hayo yote na kutokana na upuuzi wa Gorbachev kuside na USA. Ndo maana nimesema 1989 mpk 1992 ndipo Russia ilipokuwa hovyo kutokana na uongozi uliokuwepo. But angekuwepo Putin asingekubali hilo. That's why 2 yrs baadae baada ya 14 countries kujiunga na NATO putin kuingia madarakani 1999 alitaka kwanza kuanza kuirudisha Alaska irudi Russia kwakuwa was sold out to USA 1867.
Hivyo hoja siyo uchumi hoja ni uongozi.
Pia kuhusu Nuclear zilizokuwepo Ukraine... Ukraine hakuwa na uwezo wa kuzihudumia the only means Russia kwakuwa alikuwa na mpngo wake huu tokea kitambo akazirudisha kwake na akawaambia yeye atazihudumia but zile ambazo hazikuweza kuondolewa Ukraine walizitekezea ardhini. Na pia ukae ukijua kuwa kila nchi iliyokuwa ndani ya ussr ilikuwa na nuclear weapons. So Russia alihakikisha zote zimekuwa free from nuclear weapons kwakuwa walimsaliti.
 
Bro sina akili kivipi? NATO wapo hapo Poland mpakani kabisa, Russia si arushe hata jiwe tu
We jamaa kweli kiazi...... hata ramani tu inashindwa kuifuatilia.... mpaka upi yupo karibu na Russia
 
Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
... jamaa ana-practice ruling style ya akina Genghis Khan karne ya 13 huko. Anaota ndoto za kuirudisha USSR hata wenzie kwenye utawala wake wanamshangaa ila kwa kuwa ni udikteta mwanzo mwisho hawana la kufanya.
 
We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Mimi naona wwe ndio kiazi kwasababu hujui historian kati ya Urus na Ukraine ila umekuwa mpumbavu was kujifanya unajua.
 
Tunataka muongope hivyo hivyo mkiona tu magari meusi yanapita mjue ni Putin yuko area
 
Back
Top Bottom