UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,131
- 9,544
Haha umenikumbusha nineona msikiti hata pale uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere....ila sijaona kanisa au watu wa makanisa hawataki hiyo fursa?!
Hao wamepewa siku za kumpumzika kabisa.
Haha umenikumbusha nineona msikiti hata pale uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere....ila sijaona kanisa au watu wa makanisa hawataki hiyo fursa?!
Mbuzi katoliki watupu wamejaa hapo
Hati miliki ya nchi iko Kanisani kwa Kilaini !Hii ndio top ya PPF
Management
Management of the fund comprises of the Director
General who is the Chief Executive Officer and
eight directors as follows:
William Erio - Director General
Mr. Steven Alfred
Director of Planning and
Investments
Mr. Robert Mtendamema
Director of Information
Systems
Mr. Martin Mmari
Director of Finance
Ms. Vupe Ligate
Director of Legal Services
Mr. Hosea Kashimba
Director of Internal
Audit
Mr. Julius K Mganga
Director of Human Capital
Management & Administration
Ms. Assumpta Maina Mallya
Director of Operations
Ms. Uphoo Swai
Director of risk management.
kwa sisi tusio na dini
Swali lako zuri sana japo unaweza ikawa mwenyewe umeliuliza kwa mzaha..Ujue mtu anapolalamika kuwa kuna sehemu kazi hutelewa kwa kuangalia dini fulani basi huoneka kama unaleta udini,watu wanasahau kuwa unapozungumzia waislamu au wakristo kuwa hizi ni jamii mbili zenye idadi ya watu wengi,sasa ukizingatia nchi yetu inasema haina dini halafu leo ziwe zinatolewa nafasi za kazi kwa wingi kwa jamii moja tu,Je hii jamii nyengine unategemea itakuwa ktk hali gani?
Naomba unipe data angalau kidogo au nipe data za interview hata moja iliyo fanyika katika mashirika tajwa hapo juu na wakaajini kwa kufuata dini. Naomba uniambie katika usahili utakao taja wakristo walikua wangapi na waislam walikua wangapi na wakristo wenye vigezo waliajiliwa wangapi na waislam wenye vigezo waliachwa wangapi. Maana mi naona unalalama kisa umeona majina ya akina John wakati hujui waliajiliwa lini na kwa vigezo gani na hujui siku ya ajira kama akina juma walikuepo au la. Tumia akili kufikiria isitumie hisia.
Tuwekeeni majina ya hawa, tuchambuwe:
Director of Member Services
Tel:+255 26 2321526![]()
Email: member@lapf.or.tzDirector of Human Resources and Administration
Tel:+255 26 2321553![]()
Email: hr@lapf.or.tzDirector of Research, Planning and Investment
Tel:+255 26 2321554![]()
Email: invest@lapft.or.tzDirector of Information and
Communication Technology
Tel:+255 26 2320004![]()
Email: ict@lapf.or.tzDirector of Finance
Tel:+255 26 2321144![]()
Email: finance@lapf.or.tzChief Legal Counsel
Tel:+255 26 2321157![]()
Email: legal@lapf.or.tzDirector of Internal Audit
Tel:+255 26 2322112![]()
Email: audit@lapf.or.tz
[TD="colspan: 2"] Director General
P.O.Box 1501
Mtendeni Street
DODOMA
Tel:+255 26 2321952![]()
Fax: +255 26 2321701
Email: info@lapf.or.tz [/TD]
tulivopata uhuru shule za makanisa zoote zilitaifishwa,hv ingekuwa ndo shule za kiislam wangelalamikaje hawa watu
Du.. Kujitoa mhanga ndo kujitambua??!!.. Kaz kweli kweliKafiri mkubwa we! We unadhani mtu anavyojitoa muhanga huwa kwa sababu gani? Unaweza kufananisha kijielimu chako na wao. Watu wanajitambua, wanaume wa shoka sio wewe chips yai...
Mkuu usiwatusi binadamu wenzio namna hiyo.
Mods huu ni ujinga kama mnajielewa
Hakuna graduate kutoka MUSLIM UNIVERSITY MOROGORO ambae hana kazi. Wote wameajiriwa na ni wachapa kazi sana.
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................
kwa sisi tusio na dini
Swali lako zuri sana japo unaweza ikawa mwenyewe umeliuliza kwa mzaha..Ujue mtu anapolalamika kuwa kuna sehemu kazi hutelewa kwa kuangalia dini fulani basi huoneka kama unaleta udini,watu wanasahau kuwa unapozungumzia waislamu au wakristo kuwa hizi ni jamii mbili zenye idadi ya watu wengi,sasa ukizingatia nchi yetu inasema haina dini halafu leo ziwe zinatolewa nafasi za kazi kwa wingi kwa jamii moja tu,Je hii jamii nyengine unategemea itakuwa ktk hali gani?
Mkuu pita vyuoni au nenda kwenye mahafal uone idadi ya wakristo na waislam wanaohitimu ndio uanze kutaka usawa maofisin,hata kama waislam wangekuwa asilimia 80 ya watu wote na vyuon wako wachache unategemea watu gan wawe maofisin.
Nafikiri wakristo wana tamaa sana ya madaraka, pamoja na kuwa karibu office zote they range 75-90% lakini bado wameshupaa na kuwapakazia waislam...
Mi nafikiri sasa iwe somo kwa waislam na kuanza kudai 50/50, coz ni ujinga wa hali ya juu mwenye kingi anaendelea kulalamika eti kapunjwa...
Kuingiliana wao kwa wao kumewaharibu sana
Umesahau na ukabila.. Na makabila yanayoongoza kwa kuwekana vyeo kikabila ni
wahaya
wachaga
na hata ukienda wizara wanayoongoza hizi kabila mbili utakuta yamejaa kabila moja
nchii hii ukabila na udin upo ila tu bado mawazo ya mwl nyerere yapo vichwan mwa watu
hvyo twavumilia kuimarisha umoja
TUTAKOMA SIKU AMBAYO KABILA MOJAWAPO KATI YA HAYA MAWILI YAKISHIKA URAIS......
kiufupi wenzetu wa arusha.. Moshi na bukoba ni wabaguz sana
na ndyo maana tunasema Rais hawezi toka arusha.... Moshi wala bukoba.........