PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
waislam wapo sensitive sana kwenye udini.Timu ya taifa ya tz always waislam ni zaid ya80%. Utasema waislam mnabebwa hap?

unataka ufanywe nini ili uelewe? waislam wanasema taasisi za umma wamejaa wakristo wengi sana kwa sababu ya upendeleo wakristo wanajibu wao ndo wamesoma nchi hii, hapohapo wakristo wanalalamika nssf imejaa waislam, sasa waislam wanasema kama hawajasoma hao wanaoajiriwa nssf wanatoka yemen? pia waislam tunaamini taasisi ikiongozwa na muislam wakristo hawapendi hata kama inafanya vizuri wataipiga vita tu, mfano nssf na udom, ukiangalia huko udom na nssf staff wakristo ni wengi kuliko muslim,
 
Mimi naamini tz hakuna udini kabisa na hakuna taasis ya umma yenye wakristo na waislam 50% kwa 50% hata mashuleni..
 
Mimi naamini tz hakuna udini kabisa na hakuna taasis ya umma yenye wakristo na waislam 50% kwa 50% na haiwezekani.
 
kama alivyowasaidia nyinyi yule kafiri nyerere,

mnataman kwenda kumfufua sasa lakin waaapi,,,kwiiiisha habari yake,

mlidhan mngekaa nae milele siyo??

tunaimaliza moja kwa moja ile biashara ya mfumo kristo aliyokainzisha,

mlijisahau moja kwa moja mkadhani hili ni taifa lenu pekeyenu,

ona mnanyojidharaulisha kwa sasa,hadi makanisa yanahusika kwenye fedha za wizi,what a shame...!

naona na Kinana juzi kajaza watu kweli huko kwenu ,mimi nilijua hamjasahau machungu ya Bomba la gesi , au mna Matatizo ya kusahau?
 
Hivi na misikiti yote hii humu maofisini bado mnalalamika tu, kuweni wastaarabu basi kidogo.

Haha umenikumbusha nineona msikiti hata pale uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere....ila sijaona kanisa au watu wa makanisa hawataki hiyo fursa?!
 
nimefanya kazi kwenye taasisi kadhaa za kikristo(shule) nikakuta waislam wameajiriwa huko wanafanya kazi kwa raha kabisa
 
NSSF ndo hatar mno kwa udini,majna wanayopata kaz ni asha,hamida,ashura etc

Huenda mashirika yameamua kujibizanaa...kwa kuanzishwa na mkuu wa kaya...baada ya kuunda nafasi ya makamu IGP ili tu atoe nafasi kwa hizo dini mbili kubwa hapa nchini akijaribu tafuta kubalance mambo...matokeo ndio hayo sasa.

Mbona sijawahi ona mkuu wa mkoa wa Dar akiwa wa Dini nyingine..?!! Walau IGP kwa takribani miaka zaidi ya 7 amepatikana akiwa na makamo toke pande ile pia.
 
Ninachosema tz hakuna udini. Ukiaungalia sana mwezi utaona taswira yoyote unayoitaka wewe.ondoeni mawazo ya udini
 
NSSF ndo hatar mno kwa udini,majna wanayopata kaz ni asha,hamida,ashura etc

Huenda mashirika yameamua kujibizanaa...kwa kuanzishwa na mkuu wa kaya...baada ya kuunda nafasi ya makamu IGP ili tu atoe nafasi kwa hizo dini mbili kubwa hapa nchini akijaribu tafuta kubalance mambo...matokeo ndio hayo sasa.

Mbona sijawahi ona mkuu wa mkoa wa Dar akiwa wa Dini nyingine..?!!
 
Ni rahisi kukuta mfanya kazi muislam kwenye taasisi za wakristo kuliko kumkuta mkristo moja kwenye taasis 60 za waislam
 
Ni rahisi kukuta mfanya kazi muislam kwenye taasisi za wakristo kuliko kumkuta mkristo moja kwenye taasis 60 za waislam

Ndio maana Waislaam wamejaa World Vision na Caritas !
 
haya basi na nyie ombeni nafasi ya viti maalum bungeni ..na badae muombe asilimia 50 kwa 50 kama wenzenu
 
Dah najickia vibaya kuona tumefkia hapa mpaka mtu anamkashifu Yesu kristo yan Mungu mwana cjui itakuwaje cku mwsho kwa maana yy alisema hakuna atakayekwenda kwa baba (yan Mungu) bila kupiti kwake sasa ww endelea kumkashifu na kutomtambua kama Mungu ilhal cku ukifa ukamkuta amekaa kuume kwa baba alafu anatoa hukumu,cjui utajiteteaje,wadau badiliken matendo yako mema ndo yatakupeleka mbinguni na cyo dini,kama ww unajiona ukiwa mkristo au muislamu umepotea kilichopo n matendo mema
 
Huenda mashirika yameamua kujibizanaa...kwa kuanzishwa na mkuu wa kaya...baada ya kuunda nafasi ya makamu IGP ili tu atoe nafasi kwa hizo dini mbili kubwa hapa nchini akijaribu tafuta kubalance mambo...matokeo ndio hayo sasa.

Mbona sijawahi ona mkuu wa mkoa wa Dar akiwa wa Dini nyingine..?!!

nasema na narudia kusema,analysis za udini ni mbaya sana,nakukumbusha tu Look-v alishawah kuwa RC wa dsm
 
Ni rahisi kukuta mfanya kazi muislam kwenye taasisi za wakristo kuliko kumkuta mkristo moja kwenye taasis 60 za waislam

Mkuu ni kweli kabsa hata ukija kwenye mashule ya st.utawakuta waislam wengi wanasoma na wanapewa uhuru wa kuabudu siku za dini na kuna maustadhi wanakuja,mimi ningependa kuwashaul waislam wajitaidi kupeleka watoto wao shule angalau kupunguza gape lililopo,inasikitisha unapoenda kwenye mahafari ya vyuo vya umma kama udsm utagundua asilimia kubwa ya wahtimu ni wagalatia sasa uko kwenye vyuo vya kanisa si ndio balaa,harafu unategemea maofisini watakuwa wakina nani,kuendelea kulalamika hakutasaidia kikubwa ni kuwekeza katika elimu
 
Hapa ofisini kwangu walikuja watu wa NSSF wawili.., walikuwa ni wadada wawili wa kiarabu arabu hivi.., halafu walionekana ni ndugu..., nilianzisha thread ya udini hapa siku hiyo hiyo. NSSF na TRA ni wadini.., tuache utani.

Yaani Nchi hii natamani tuchapane kwanza tushikishane adabuotherwise hatutaheshimiana. That is the only solution‼‼ ni kama Wakenya nowheshima kwa wasomali itarudi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom