PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
Ni kweli ni utoto, ila waache kulalamika kuwa kuna upendeleo. nilikuwa najaribu kumuonyesha kuwa dini sio mchaguaji wa viongozi.

Any way I am sorry kubishana kusiko na tija
 
jaman,wakricto tunawadkeza tu hawa.ata kama uzi hufungwe,ila samahanini,IS-Islamic States wako njian wanakul zoezi la kareti wako kwa majran ze2 libya.da wamefaidije wa libyans na baraka ka hii.na mim nacubir ujio wao.ALSHABAAB come tu TZ.
 
Mimi ni muislam pure ila ukweli ni kwamba cc mujahedina hatuna elimu.

Sema wewe mujahedina huna elimu. Na sio mujahedina wewe wewe ni mgalatia tu usiye na akili nani kakuroga?.

It is pathetic kuona galatians wakimwaga povu hapa kwa ajili ya NSSF. Ni shame kabisa. Wanaishambulia hiyo kwa sababu tu Mkurugenzi Mtendaji ni Muislam. Lakini inashangaza pia juzi kuna watu walikuwa wanahoji Uprofessor wa Assad na Accounting qualifications zake. Lakini hawakuhoji pale alipokuwa anawapa degrees kule UDBS. Na ndio degree hizo hizo wanazozitumia kuwanyanyasa watu. Mmmmmmmm Kunahitaji akili ya Mwendawazimu kuwa mgalatia
 
Kweli let mi ni:closed_2: mdomo wangu ila nilikuwa najaribu rejea tu hayo wasemayo watu. Thanks kwa ushauri...advise taken.

nasema na narudia kusema,analysis za udini ni mbaya sana,nakukumbusha tu Look-v alishawah kuwa RC wa dsm
 
mada za udini zinawasaidia nini?mngekua mnajadili jinsi ya kuhakikisha kila wilaya inapata huduma bora za hospitali na huduma za maji ya uhakika mngekua mnatendea haki huo muda mnaopoteza kupeana mipasho huku umasikini ukiwatafuna.

Umasikini unaletwa na Wakiristu kwa kuendekeza rushwa na wizi !
Wamefungua mpaka Benki ya kuratibu wizi wao. Kambiaso
 
Last edited by a moderator:
Du.. Kujitoa mhanga ndo kujitambua??!!.. Kaz kweli kweli

Hao jamaa wamesababisha Wayahudi kuweka ukuta baada ya kushindwa kuhimili mashambulizi na Wamarekani walijiwekea green zone pale Iraq ili kujilinda na ndio waliowafanya wafunge virago !
 
Hii ndio top ya PPF
Management

Management of the fund comprises of the Director
General who is the Chief Executive Officer and
eight directors as follows:

William Erio - Director General

Mr. Steven Alfred
Director of Planning and
Investments

Mr. Robert Mtendamema
Director of Information
Systems

Mr. Martin Mmari
Director of Finance

Ms. Vupe Ligate
Director of Legal Services

Mr. Hosea Kashimba
Director of Internal
Audit

Mr. Julius K Mganga
Director of Human Capital
Management & Administration

Ms. Assumpta Maina Mallya
Director of Operations

Ms. Uphoo Swai
Director of risk management.

Haya sasa ona PPF mbuzi katoliko walivyojaza hukuu.

Yaaani shirika looote wamejaa hawa jamaaa then wanalalamika kuhusu udini.

Nani mdini kati yenu na sisi??


Unadhani hayo sisi hatuyaoni???

Nssf mmepewa full data hapa nusu kwa nusu waislam na wakristo...udini uko wapi??


Mkuu Lusungo shukran kwa kuwaumbua hawa jamaaa.
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

We umekuja ku divert mjadala wa udini NSSF. Nakushauri ufanye utafiti wa mashirika yote then njo tujadili
 
Ila hujasema kwamba ukiomba kazi #NSSF kama jina lako sio Mohammed au Rashid hupati kazi. Balance mzani ueleweke, usifumbe jicho moja.
 
Mimi nasoma Masters chuo fulani hapa Moshi darasa lina wawili tu wa hiyo dini na ukiangalia tupo 34 sasa tukisema wote tunatuma barua za maombi probability ya kupata ajira itakuwa wapi?
 
Na wanaolipua mabomu ni akina nani... nyambaf... mnaongea tu wakristo wakristo wakati mnafuga magaidi... Roho zenu mbaya kama za shetani... nyie mkiachia hii nchi itakua kama Somalia .. bora tuishikilie nchi yetu
 
Haya sasa ona PPF mbuzi katoliko walivyojaza hukuu.

Yaaani shirika looote wamejaa hawa jamaaa then wanalalamika kuhusu udini.

Nani mdini kati yenu na sisi??


Unadhani hayo sisi hatuyaoni???

Nssf mmepewa full data hapa nusu kwa nusu waislam na wakristo...udini uko wapi??


Mkuu Lusungo shukran kwa kuwaumbua hawa jamaaa.

Hamna wasomi wa kutosha mtapewaje nafasi? Hao wachache mlionao wengine wamepata nafasi chache chache kulingana na.idadi yao alaf wengine wamejazana NSSF
 
Na wanaolipua mabomu ni akina nani... nyambaf... mnaongea tu wakristo wakristo wakati mnafuga magaidi... Roho zenu mbaya kama za shetani... nyie mkiachia hii nchi itakua kama Somalia .. bora tuishikilie nchi yetu

Kwa mitazamo hiyo unamaanisha nyie mkiachiwa zaidi hii nchi itakuwa kama America yani ushoga/usagaji/ulawiti bila ya kusahau na ufisadi wenu mnaoufanya sasa.
 
Hamna wasomi wa kutosha mtapewaje nafasi? Hao wachache mlionao wengine wamepata nafasi chache chache kulingana na.idadi yao alaf wengine wamejazana NSSF

Kwanini sasa waislamu hawana wasomi wa kutosha?hebu toa sababu za msingi.
 
kwan sisi ndio tumeanza kulizungumzia hilo au nyinyi??

mkitakaje sasa,,sisi tunawapa takwimu zenu nyinyi wenyewe baada ya nyinyi kuanza kuleta maneno ya choko choko,

kama unataka tusiangaliane kwa udini basi mfunge hizo bakuli zenu na muache kuropoka ropoka maneno yasiyo na mpango,

kila sekta ya umaa mmejaa nyinyi

inachukiza mkiona kuna agency flan au shirika flan akiteuliiwa muislam mnaanza kuongea maneno ya kejeli eti udiniii udiniii then mkirajia sisi tukae kimya kuhusu hizom kauli zenu,

infact sisi tumekuwa wavumilivu kwa kias kikubwa sana dhidi ya dhulma zenu na kauli zenu za reja reja kwetu,

juzi tuh hapa tumeshuhudia wizi wa mabillion ya pesa zetu na maaskofu na makanisa yakihusika,

hujaskia muislam hata mmoja akipaza saut na kulalamika,tumejikalia zetu kimya sio kwamba hatuoni au hatuumii au hatuji kuwa hizo ni fedha zetu walipa kodi,

tunavumilia kwa kias kkubwa sana dhambi hizo,

ila thubutu pesa hizo zingechukuliwa na masheikhs au mabenk hayo yangekuwa yanamilikiwa na misikiti haki yanani tusingekaa ndan ya nchi hii,

lazima tungeskia hizo fedha ni kwa ajili ya kwenda kufadhiri ugaidi na wahusika wachukuliwe hatua,

na tungeskia matamko chungu tele ya mabaraza ya maaskofu,.,,lakin sisi tumejikalia zetu kimyaa tunawaangalia tu,sio kama hatuoni uozo wenu huo.

hapa kaka umenena kweli tupu
 
Kwanini sasa waislamu hawana wasomi wa kutosha?hebu toa sababu za msingi.

Mkuu ukristo na uislam ni dini ambazo zna utamadun tofauti kabsa hasa linapokuja swala la elimu,ukiangalia kuna gepu kubwa la wanawake wakislam dunian ambao hawapati elimu kutokana na tamaduni hyo inachangia kupunguza nguvu kaz kubwa,sasa ukija kwenye upande wa pil hali ni tofauti unakuta wengi wako mashulen na maofisin sasa hyo peke yake inasababisha kuwe na gepu kubwa bado kuna sabab nyngne kama muamuko mdogo wa kupeleka watoto shule hasa wa kike.
 
Wanaukumbi.

NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu.
Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha.
Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta.
I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi.
Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani.
Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi
Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum.
Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria.
Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa.
Muislamu.

Tunaomba tufahamishwe udini unaofanywa na Dr.Ramadhan Dau, NSSF ni upi.

Tumesikia kuwa ajira pale zinatolewa kwa Waislam watupu watu wakilalamika humu JF tunaomba watufahamishe hawa Wakirsto waliojaa NSSF nani kawapa nafasi.

Uongo ukitajwa kila mara mpaka unaonekana ukweli, kukuta mzizi wa fitina tuambiwe udini wa NSSF ni upi.

Hapo lazima kuna udini tu kwa7bu ktk nchi hii ukitangaza nafasi za ajira zinazohitaji wasomi, wakipatikana watu 100 wenye sifa basi ujue 80-95 watakuwa wakristo. Hata ivyo sio mbaya mkipewa viti maalum maana mkiwezeshwa mnaweza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom