Mimi ni muislam pure ila ukweli ni kwamba cc mujahedina hatuna elimu.
Fani yenu ni kujilipua jilipueni nasi tuwa guantanamo
Serikali inatakiwa kuchunguza mashirika hayo
mdau labda nikueleze,sitegemei fadhila mie kupata kazi/ajira,ajira yangu nimeipata kwa vigezo vya elim nilonayo,na pia ofisi yangu 85-90% ni tofaut na dini yangu ila naish nao pisi sana wala sijawah kuwaizia mambo za udini kabisa na haitatokea,mkuu wangu wa kazi namheshim kama mkuu wangu na kama mzee wangu pamoja na wasaidizi wake.Na pia sifikirii kama itakuja kutokea ntapewa feva kwa sababu ya dini yangu mdau THE BIG SHOW,nilichokisema hapo kama watu wanawaza kupata fursa kwa udini/ukabila ni wao sio mimi naamini nimesoma na ajira nimeipata kwa sababu ya elim yangu,halafu bahat mbaya umekurupuka tu na hujui imani yangu ni ipi.
Nimetoa rai kwetu wote kuwa kujadili masuala ya udini hakuna tija.
Kuna dini inapewa hadi ruzuku (mou), na nyingine haipewi. Kwa hali hiyo kweli wataacha kuwa wengi mashuleni na maofsn?
Usisahau benki zao pia zinatumika kutakatisha fedha haram.
Hivi watangazaji wa tv hasa hizi kubwa(itv,star tv,chanel 10 na tbc) hazinaga watangazaji wakike waislam? Sijawah ona mwanamke kajistr anasoma taarifa ya habari, au vigezo na mashart haviruhusu?
Kuna dini inapewa hadi ruzuku (mou), na nyingine haipewi. Kwa hali hiyo kweli wataacha kuwa wengi mashuleni na maofsn?
Usisahau benki zao pia zinatumika kutakatisha fedha haram.
me nawashangaa sana hawa jamaa,
sijui huwa wanadhani kwamba hii nchi ni ya kwao pekeyao???
Unajua yule kafir nyerere aliwazoesha vibaya sana hawa jamaa.
Kias kwamba hadi wakawa wanafikia hatua ya kujiona kwamba wao ni first class citizen ndan ya taifa hili na wao ndio wanaodeserve kukalia hizo ofc za umma,
cha ajabu basi wamekali hizo ofc miaka zaid ya 50 hamsin sasa huku wakijiita wasomi,
hakuna wanachofanya nchi inazid kuwa maskin na wao wamekalia wizi na ufisadi tuh
hakuna wanachokijua zaid ya hicho,
watu wa ajabu sana