crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,860
- 2,957
Mkuu udini wanaouzungumzia hao wagalatia ni chuki na roho mbaya tu, wao walitaka hapo juu namba moja akae john au Joseph au petulo ndio wangeona ni sawa, lakini hawana hoja
Lengo lako la kutumia neno Wagalatia ni kudhalilisha tu, maana hamna dini wala dhehebu la kikristo lenye jina hilo.Umekuja hapa toka huko na mikoba yako kupinga kuwa hamna udini lakini unatumia maneno yenye ubaguzi wa kidini..Maandazi kweli!