PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
Nashauri tusilete mambo ya udini. Sisi ni Watanzania wote na tuna nafasi sawa kupata kazi kwenye mashirika yaliyotajwa. Mfano LAPF ni Shirika ambalo hakuna udini kabisa.

ukisikia shirika halina udini jua basi wakristo wako zaidi ya 80% ila ikitokea wakristo wakawa less ya 70% utaambiwa udini kama nssf, sasa nenda kafanye research ya hilo shirika ulilolitaja utaamini maneno yangu
 
Kusema kweli mtoa mada is missing a point hayo aliyoyasema huwa yanafanywa na shirika moja kubwa hapa nchini nalo bila kumungunya maneno ni nssf na dr ramadhani dau pale mzee ndio mwisho wa maneno cv sio dili bora uwe sala tano\na anasaidiwa na wenye mamlaka ambao nao mwendo ni ule ule.....

Jamani dau dau dau jiangalie na ujitathmini sio kuleta thread hapa ya kupoteza mwelekeo kuficha ukweli
nssf nssf nssf nssf nssf acheni udini basi bora muwe hamtangazi kazi kabisa fanya kwa hao walengwa....

hakuna mkristo yeyote duniani atakae kuletea takwimu sahihi za wafanyakazi wa nssf wepi wengi kwa imani zao, pili leteni majina ya wafanyakazi wa nssf walioajiriwa huku hawana sifa za elimu,
 
Dini tumeletewa...nashangaa kiubishi mmenogewa
 
Wala msijichoshe kikubwa sio.udini.kikubwa ni vimemo.kote ulikotaja.thubutu Athuman umetokea kusikojulikana ujitie ntachikuliwa sababu ya udini.hapa kinacho ongoza ni vimemo tu.

chunguza mifuko ya pension yote.wachache waliopatq kazi from no where.vimemo vyenyewe vinazidi nafasi mpaka vinachambuliwa kwa vyeo vya walio viandika uswahiba.so vijana dini sio kigezo tu cha kukunasua.

pekeyako ndo umeongea ukweli, hivi lowasa au pinda anamwambia dau msaidie kijana wangu dau anaanzia wapi kukataa?
 
msimu wanaouita wa sikukuu umekwisha wadia sasa anza kutembelea ofisi za umma uone mambo, bank ya posta ni vinara kwa hili,
 
NSSF ndo hatar mno kwa udini,majna wanayopata kaz ni asha,hamida,ashura etc
Hapa ofisini kwangu walikuja watu wa NSSF wawili.., walikuwa ni wadada wawili wa kiarabu arabu hivi.., halafu walionekana ni ndugu..., nilianzisha thread ya udini hapa siku hiyo hiyo. NSSF na TRA ni wadini.., tuache utani.
 
hawa hawatusumbui akili yetu sisi kwa sasa hata kdgo,

taifa hili limekuwa maskin shauri yao na ufisadi wao,

hawatupi shida hawa kwa sasa hata kidogo

Dalili za mtu kufilisika kimawazo ni kuangalia kila kitu katika mtizamo wa kidini. Katika mashirika na taasisi zote zilizotajwa ambazo kwa bahati nzuri zote nazifahamu fika hakuna udini hata kidogo. Ni dhana ya kulishwa na kuaminishwa tu either na watu waliofilisika kimawazo au waumini wa dini. Kumbuka dini ni bangi ukiivuta utachanganyikiwa na siku hizi dini ni moja ya magonjwa ya akili. Chukua hatua!
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Umetumia vigezo gani
 
dalili za mtu kufilisika kimawazo ni kuangalia kila kitu katika mtizamo wa kidini. Katika mashirika na taasisi zote zilizotajwa ambazo kwa bahati nzuri zote nazifahamu fika hakuna udini hata kidogo. Ni dhana ya kulishwa na kuaminishwa tu either na watu waliofilisika kimawazo au waumini wa dini. Kumbuka dini ni bangi ukiivuta utachanganyikiwa na siku hizi dini ni moja ya magonjwa ya akili. Chukua hatua!

sasa maneno hayo unamuambia nani??

Waambie jamaa zako wanaoimba ya kwamba nssf kuna udini eti kisa mkurugenz ni muislam,

tukiwaambia leteni lists ya waislam na wakristo wanaofanya kazi nssf ni wepi wengi kimyaa??

Mbona kwenye escrow majina karibia yoote ni wao na maaskofu wao sisi hatujasema kwenye escrwo kuna udini??

Watu wa ajabu sana
 
msimu wanaouita wa sikukuu umekwisha wadia sasa anza kutembelea ofisi za umma uone mambo, bank ya posta ni vinara kwa hili,

Tena hilo linashangaza sana

ajabu ofc ni za umma,,siku za x mas zikifika utashangaa wanaanza kupamba pamba masanamu yao??

kwann wasiende kupamba makanisani huko

unajua hawa jamaa fikra zao hii nchi ni ya kwao,yaani kanisa katoliki ndilo lenye hati miliki,

hii kitu haipo wakae wakijua sasa
 
kwan sisi ndio tumeanza kulizungumzia hilo au nyinyi??

mkitakaje sasa,,sisi tunawapa takwimu zenu nyinyi wenyewe baada ya nyinyi kuanza kuleta maneno ya choko choko,

kama unataka tusiangaliane kwa udini basi mfunge hizo bakuli zenu na muache kuropoka ropoka maneno yasiyo na mpango,

kila sekta ya umaa mmejaa nyinyi

inachukiza mkiona kuna agency flan au shirika flan akiteuliiwa muislam mnaanza kuongea maneno ya kejeli eti udiniii udiniii then mkirajia sisi tukae kimya kuhusu hizom kauli zenu,

infact sisi tumekuwa wavumilivu kwa kias kikubwa sana dhidi ya dhulma zenu na kauli zenu za reja reja kwetu,

juzi tuh hapa tumeshuhudia wizi wa mabillion ya pesa zetu na maaskofu na makanisa yakihusika,

hujaskia muislam hata mmoja akipaza saut na kulalamika,tumejikalia zetu kimya sio kwamba hatuoni au hatuumii au hatuji kuwa hizo ni fedha zetu walipa kodi,

tunavumilia kwa kias kkubwa sana dhambi hizo,

ila thubutu pesa hizo zingechukuliwa na masheikhs au mabenk hayo yangekuwa yanamilikiwa na misikiti haki yanani tusingekaa ndan ya nchi hii,

lazima tungeskia hizo fedha ni kwa ajili ya kwenda kufadhiri ugaidi na wahusika wachukuliwe hatua,

na tungeskia matamko chungu tele ya mabaraza ya maaskofu,.,,lakin sisi tumejikalia zetu kimyaa tunawaangalia tu,sio kama hatuoni uozo wenu huo.

uzur wa JF watu hatujuan raha sana,haya mwanantwara me siendesh ligi ya ubish hapa maana hatujuani.
Nakutakia Ijumaa njema
 
waislam wapo sensitive sana kwenye udini.Timu ya taifa ya tz always waislam ni zaid ya80%. Utasema waislam mnabebwa hap?
 
uzur wa JF watu hatujuan raha sana,haya mwanantwara me siendesh ligi ya ubish hapa maana hatujuani.
Nakutakia Ijumaa njema

"kuna watu walinikataa kwasabu mimi ni mweusi pia kunawatu walinipigia kura kwasababu ni mweusi" barrack obama
 
zanz kuna wakristo kule lakini 98.94 ya viongozi ni waislam,je wakristo wanalalamika huko?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom