Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,421
too low muombe mods aanzishe jukwaa la dini kama atakubali....
Mkuki kwa nguruwe
too low muombe mods aanzishe jukwaa la dini kama atakubali....
kasumba za kipuuz ili hali watu wamesema ukweli??
then mlivyo na roho mbaya mkiona mahali kuna mkurugenz muislam tuh kama nssf lazima muanze kumwaga povu,
watu wa hovyo kabisa
Hivi na misikiti yote hii humu maofisini bado mnalalamika tu, kuweni wastaarabu basi kidogo.
Soma sana (elimu dunia) uone kama hutaajitiwa huko! Kuna Waislamu wengi tu humo isipokuwa umekalia ulalamishi na kujibweteka!!
Usituwekee mada za uchochozi humu tubadilishe uongozi haya yapungue
Usisahau UDOM, mkuu wa chuo ni mwislam, wakaanza UDOM kuna udini. Povu liliwatoka hadi wabunge
Me nawashangaa sana hawa jamaa,
sijui huwa wanadhani kwamba hii nchi ni ya kwao pekeyao???
unajua yule kafir nyerere aliwazoesha vibaya sana hawa jamaa.
kias kwamba hadi wakawa wanafikia hatua ya kujiona kwamba wao ni first class citizen ndan ya taifa hili na wao ndio wanaodeserve kukalia hizo ofc za umma,
cha ajabu basi wamekali hizo ofc miaka zaid ya 50 hamsin sasa huku wakijiita wasomi,
hakuna wanachofanya nchi inazid kuwa maskin na wao wamekalia wizi na ufisadi tuh
hakuna wanachokijua zaid ya hicho,
watu wa ajabu sana
Kwann mnalalamika kwa nssf, au vijambio vinawawasha
Wakristo ndio wamesababisha umasikini wa hili Taifa kwa wizi na ufisadi wao.
Nadhani umepagwa wewe ndiyo mdini kama unaomba kazi ukitegemea jina badala ya uwezo utasota sana.Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................
Nssf mh!!! Ni zaidi ya udini kama uhamini nenda ijumaa saa saba!
Nssf mh!!! Ni zaidi ya udini kama uhamini nenda ijumaa saa saba!
Ulitaka nssf wawe wakristo tupu?