PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
Acha udini,piga shule.waislam wote wenye elimu wameajiriwa mfano mzuri ni CAG wa sasa.mbona rais wa Tz na Znz ni waislam,makamu maraisi 3 ni waislam,mbona wakristo hawasemi?

Hivi kule Zanzibar hakuna Wakristo wasomi? Kama wapo mbona hawasikiki kabisa?
 
Mkuu ni kweli kabsa hata ukija kwenye mashule ya st.utawakuta waislam wengi wanasoma na wanapewa uhuru wa kuabudu siku za dini na kuna maustadhi wanakuja,mimi ningependa kuwashaul waislam wajitaidi kupeleka watoto wao shule angalau kupunguza gape lililopo,inasikitisha unapoenda kwenye mahafari ya vyuo vya umma kama udsm utagundua asilimia kubwa ya wahtimu ni wagalatia sasa uko kwenye vyuo vya kanisa si ndio balaa,harafu unategemea maofisini watakuwa wakina nani,kuendelea kulalamika hakutasaidia kikubwa ni kuwekeza katika elimu

hivi umekielewa ulichokiandika? mnasema waislam hawasomi hapohapo unasema waislam wamejazana kwenye mashule yenu, msituvuluge, au hao wengi walio kwenye mashule yenu wanafeli?
 
Ramadhani Dau mwaka juzi alivunja rekodi ya udini alipoajiri watu 96 wa dini yake kati ya 100 walioajiriwa wakati huo.Hili lililalamikiwa hata bungeni na mbunge wa Ngara.
Pale PSPF napo wameanza udini.TAMISEMI pia.
Ninachojua mimi tabia ya mtu hutokana na malezi ya udogoni.Waislam walio wengi hawajui kuongoza na si wachapakazi kama wenzao wakristo.Hii ni namna walivyolelewa nyumbani na miskitini.

..............nyie mmelelewa kuwa wezi wa mali ya umma, waongo, walevi, wazinifu, wenye choyo, chuki, na watu msio na hofu ya Mungu !
Sakata la Escrow wezi woote ni Wagalatia pamoja na Maaskofu wao !:becky: Maseto
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni kweli kabsa hata ukija kwenye mashule ya st.utawakuta waislam wengi wanasoma na wanapewa uhuru wa kuabudu siku za dini na kuna maustadhi wanakuja,mimi ningependa kuwashaul waislam wajitaidi kupeleka watoto wao shule angalau kupunguza gape lililopo,inasikitisha unapoenda kwenye mahafari ya vyuo vya umma kama udsm utagundua asilimia kubwa ya wahtimu ni wagalatia sasa uko kwenye vyuo vya kanisa si ndio balaa,harafu unategemea maofisini watakuwa wakina nani,kuendelea kulalamika hakutasaidia kikubwa ni kuwekeza katika elimu

...........yaani mpaka unajichanganya ! mara hatusomi, mara tunasoma.................tatizo ni ile Parokia ya NECTA, tuligundua muda mrefu kuna kazi maalum mnaifanya ile kudhulumu watu haki zao. Yule Mama Dr. Ndalichako akajisahau akatufelisha mpaka mtihani wa Dini yetu. Wakaumbuka mchana kweupeee !
Kighoma Malima alianzisha utaratibu wa 'index number' kudhibiti hilo, lakini bado mkagundua mbinu nyingine ya kufungua Parokia. Montoya
 
Last edited by a moderator:
Hivi kule Zanzibar hakuna Wakristo wasomi? Kama wapo mbona hawasikiki kabisa?

.......kyeeh ....kyeeeh....kyeeeh ! Dr Bilal ni 'Dr' wa Nuclear !
Dr (PhD) Shein, ni mambo hayo hayo, pamoja na Afya !
Dr Omar Alli Juma (PhD)
Hawa hujawahi kuwasikia !?? kinauche
 
Last edited by a moderator:
tuondeleeeni mada yenu ya kidini hivi udini mtaacha lini nyie...kama ni mkristo au muislam kama ni mdini ni mpuuzi kabisa,
waliyotuletwa dini hiyo wamekaa kimya
 
Dini ya kweli kutenda haki haijalishi ni mkiristo muislamu au dini ingine yoyote. Tatizo hizi dini tulizoletewa zinatuendesha kwa hisia bali hatufikiriii yaan wee unakaa unawaza tu kwamba shirika flan linaudini..udini unakuja pale unapojiita mwislamu na mwingine mkiristo . na ubaguzi wa rangi huja pale unapojiita mweupe na mwenzako mweusi. Me ata nlikuwa sjui kama kuna wakrsto na waislam mmenikumbushia uku
 
M
...........yaani mpaka unajichanganya ! mara hatusomi, mara tunasoma.................tatizo ni ile Parokia ya NECTA, tuligundua muda mrefu kuna kazi maalum mnaifanya ile kudhulumu watu haki zao. Yule Mama Dr. Ndalichako akajisahau akatufelisha mpaka mtihani wa Dini yetu. Wakaumbuka mchana kweupeee !
Kighoma Malima alianzisha utaratibu wa 'index number' kudhibiti hilo, lakini bado mkagundua mbinu nyingine ya kufungua Parokia. Montoya

Mkuu baada ya Ndalichako kuondoka ufaulu wenu umeongezeka?kama haujaongezeka tafuten mchawi mwngne sio NECTA
 
Last edited by a moderator:
Hamna wasomi wa kutosha mtapewaje nafasi? Hao wachache mlionao wengine wamepata nafasi chache chache kulingana na.idadi yao alaf wengine wamejazana NSSF

Sio swala la kusema hakuna wasomi wa kutosha.

Wewe shirika loote lile la PPF mmejaaa mbuzi katoliki kisha mnasema eti hakuna wasomi wa kutosha inaingia vipi akilin??

Tunawaonesha jins mlivyo na roho mbaya nyinyi makafiri.

Lione jins lilivyokosa akili eti linasema hao wachache waliopo wamejazana nssf...sasa ukitakaje??

Kama huko mnawakata na hamtaki kuwachukua mkitaka waende wapi??

Utadhani kuna cha maana basi mnachokifanya..zaid zaid ya wizi na ufisadi tuh.
 
Mkuu ukristo na uislam ni dini ambazo zna utamadun tofauti kabsa hasa linapokuja swala la elimu,ukiangalia kuna gepu kubwa la wanawake wakislam dunian ambao hawapati elimu kutokana na tamaduni hyo inachangia kupunguza nguvu kaz kubwa,sasa ukija kwenye upande wa pil hali ni tofauti unakuta wengi wako mashulen na maofisin sasa hyo peke yake inasababisha kuwe na gepu kubwa bado kuna sabab nyngne kama muamuko mdogo wa kupeleka watoto shule hasa wa kike.

Eleza kwa uwazi ili nikuelewe ni tamaduni zipi hizo zilizopoo kwenye ukristo na ni zipi zilizopo kwenye uislamu?
 
Eleza kwa uwazi ili nikuelewe ni tamaduni zipi hizo zilizopoo kwenye ukristo na ni zipi zilizopo kwenye uislamu?

Mkuu soma post yangu vzur,hata kama haujaielewa uislam na ukristo tamadun zao tofauti kuanzia linapokuja swala la ndoa na familia,ndio maana ukiangalia kwenye nchi nyngi za kiislam wanawake wengi hawajaenda shule kutokana na tamadun hyo inasababisha nguvu kaz kubwa kupotea tofauti na nchi zisizokuwa za kiislam.
 
M

Mkuu baada ya Ndalichako kuondoka ufaulu wenu umeongezeka?kama haujaongezeka tafuten mchawi mwngne sio NECTA

.........hayo maneno katafute chekechea uwachekeshe nayo !.......ungejitafutia ukweli mwenyewe ili uni prove wrong !
Mchawi ni Necta. Na kwa taarifa yako huu mchezo unafanywa mpaka hapo nchi jirani. Watu wa Coast hawapewi Vitambulisho vya Uraia, wananyang'anywa Ardhi, kama wakiwa nayo hawapewi hatimiliki, wanafelishwa na kufutiwa Mitihani kwa visingizio mbali mbali !.........ndio maana kwa ajili ya uonevu kuna vuguvugu la 'Pwani si.... !' :boxing:
 
Mods huu ni ujinga kama mnajielewa

Tulia mnyolewe mpaka nywele za kwapa !:becky:

.....na humu wala hatumo wengi kwa taarifa yako, lakini tunakabiliana na ninyi na uzushi wenu vilivyo.

Hapana kuomba kurushiwa 'Taulo'..........bado mapema sana !:teeth: storage yahoo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu soma post yangu vzur,hata kama haujaielewa uislam na ukristo tamadun zao tofauti kuanzia linapokuja swala la ndoa na familia,ndio maana ukiangalia kwenye nchi nyngi za kiislam wanawake wengi hawajaenda shule kutokana na tamadun hyo inasababisha nguvu kaz kubwa kupotea tofauti na nchi zisizokuwa za kiislam.

..........Kyeeh...kyeeh ...kyeeh ! Wagalatia bhana ! .....wanaropoka tuu ! ..una ushahidi juu ya hilo ?>
Wanawake wa Kikiristu ni 'product' na ni 'kiburudisho'

Ndio maana Makahaba siku hizi wanaitwa 'Sex Workers' :becky:
 
Hamna wasomi wa kutosha mtapewaje nafasi? Hao wachache mlionao wengine wamepata nafasi chache chache kulingana na.idadi yao alaf wengine wamejazana NSSF

..........hawa waliojazana NSSF ni katika wale wasio tosha !? :becky:

Yaani mna roho mbaya na choyo mpaka mnajichanganya ! Bomandamo
 
Last edited by a moderator:
tuondeleeeni mada yenu ya kidini hivi udini mtaacha lini nyie...kama ni mkristo au muislam kama ni mdini ni mpuuzi kabisa,
waliyotuletwa dini hiyo wamekaa kimya

..........una hangaika nini huku wewe mpuuzi kabisaa!.......nend jukwaa la mapenzi huko :boxing: mrangi
 
Last edited by a moderator:
Udini ungekuwa unalipa Afghanistan wangekuwa matajiri sana....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom