PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
tukiwa tunaamini hivi na tutawaaminisha wadogo zetu basi kuna dalili watu wataacha hata kwenda kwenye usaili kwa kuangalia vigezo vya udini udini,wote tukemee,mwisho tutaanza kupanda mabas ya watu wa dini zetu,na kabila zetu,tutaanza kusoma magazet ya watu wa dini zetu na makabila yetu,redio na TV,kama tumefika hapa tumekwama tena,rafiki zangu wengi sana sio wa dini yangu wengi sana,marafiki zangu ambao tuna iman sawa ni wachache mno,me ni muumini wa kupambana ili kufanikiwa,wote tulikemee,haya yanaanza hapa,yataenda magazetini huko na redion ndo basi tena tumeshaleta balaa.

Sasa tukemee hili swala kwa wenye kufanya huo udini au kwa wenye kulalamikia huo udini?sababu malalamiko ya udini katika nchi hii hayajaanza leo wala jana.
 
huyo human resouce chiku ndio anaendekeza udini cv za akina jihn na njiseph anazitupia kwenye dust bin

Human resource manager ni Chiku? Lakini wakuu angalieni isije ikawa ni kumzushia mama wa watu bure.
 
Miafrika tuna matatizo sana .... maendeleo tutayasikia kwa wenzetu tuu
 
Tuwekee basi huo udini wa NSSF watu wajue.

Kaka mimi sijasema kuwa NSSF kuna udini bali nimetoa angalizo tu, sababu sio muhanga wa hayo mambo ya udini, huu udini huwa naukuta JF tu huku mtaani siuoni nao watu tunaishi kwa maani tena dini tofauti.
 
Utendaji mbovu kabisa

Angalia LAPF na GPAF wana mifumo bora ya kukopesha wanachama wake.

Wao NSSF wanakopesha wanasiasa na mafisadi wasiochangia chochote katka mfuko.

Usanii wao wa kusema wanakopesha kwa kupitia SACCOS, usanii mtupu. This ishue is not practical.....

NSSF ina Miradi ya Kisiasa isiyo na tija kwa Mwanachama
 
1.rais jakaya kikwete -muislam
2.fist lady-muislam
3.makamu wa rais-muslam
4.jaji kiongozi -muislam
5.jaji mkuu -muislamu
6.rais zanzibar-mislam
7.makamu wa kwanza rais znz-muislam-
8.makamu wa piliznz -muislam
9.CAG muislam
10.bossTISS- muislam
ahahahahahah
Usiche soma hii.
Sawa Mkuu nakuwekea hiyo orodha hapa tuisome wote.

WAZIRI MKUU: MH. MIZENGO PINDA

OFISI YA RAIS [PRESIDENT’S OFFICE]

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-[Utawala Bora]–Mh.Capt.GEORGE MKUCHIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais [Menejimenti ya Utumishi wa Umma] - Mh.Celina Kombani

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais [Mahusiano na Uratibu]-Mh.Stephen Wasira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais [Waziri Asiye na Wizara Maalum] Prof. Mark Mwandosya



OFISI YA MAKAMU WA RAIS [VICE PRESIDENT’S OFFICE]
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais[ Mazingira]- Dr.Binilith Mahenge

Naibu Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais [Mazingira] Ummy Ali Mwalimu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais [Muungano]- Mh. Samia Suluhu


OFISI YA WAZIRI MKUU [PRIME MINISTER’S OFFICE]

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu [Uwekezaji na Uwezeshaji]- Dr.Mary Nagu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu [Sera, Uratibu na Bunge] Mh.WilliamLukuvi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu [TAMISEMI]- Mh.Hawa Ghasia

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)Mh. Aggrey Mwanry



WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
WAZIRI: Mh.Eng. Christopher Chiza

NAIBU WAZIRI: Mh.Godfrey Weston Zambi

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
WAZIRI: Mh. Sophia Simba

NAIBU WAZIRI: Dr.Pindi Hazara Chana


WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
WAZIRI: Prof.Makame Mbarawa

NAIBU WAZIRI: Mh. January Makamba


WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
WAZIRI: Dr.Hussein Ali Mwinyi


WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

WAZIRI: Mh.Samuel Sitta

NAIBU WAZIRI: Dr. Abdulla Juma Abdulla


WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

WAZIRI: Dr. Shukuru Kawambwa

NAIBU WAZIRI: Mh.Jenista Joakim Mhagama

WIZARA YA NISHATI NA MADINI

WAZIRI: Mh.Sospeter Muhongo
NAIBU WAZIRI:Mh.Charles Muhangwa Kitwanga




WIZARA YA FEDHA NA UCHUMI

WAZIRI: Mh Saada Mkuya Salum

NAIBU WAZIRI: Mh.Adam Kighoma Malima

NAIBU WAZIRI [SERA]: Mh.Mwigulu Lameck Nchemba


WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
WAZIRI: Mh.Bernard Membe

NAIBU WAZIRI: Mh. Mahadhi J. Maalim


WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
WAZIRI: Dr. Seif Seleman Rashidi

NAIBU WAZIRI: Dr. Kebwe Stephen KEBWE


WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

WAZIRI: Mh.Mathias M. Chikawe

NAIBU WAZIRI: Mh.Pereira A. Silima


WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA MASOKO

WAZIRI😀r. Abdallah O. Kigoda
NAIBU WAZIRI: Mh. Janet Zebedayo Mbene


WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
WAZIRI😀r. Fenella E. Mukangara

NAIBU WAZIRI: Mh. Juma Selemani Nkamia


WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
WAZIRI: Dr.Asha-Rose Mtengeti Migiro

NAIBU WAZIRI:Angela Jasmine Kairuki



WIZARA YA KAZI NA AJIRA

WAZIRI: Mh.Gaudensia Kabaka

NAIBU WAZIRI: Dr. Makongoro M. Mahanga


WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
WAZIRI: Mh.Prof.Anna Tibaijuka

NAIBU WAZIRI: Mh. George Boniface Taguluvala Simbachawene



WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
WAZIRI: Dr. Titus Mlengeya Dismas Kamani

NAIBU WAZIRI: Mh.Kaika Saning’o Telele

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
WAZIRI: Mh.Lazaro Samuel Nyalandu

NAIBU WAZIRI: Mh.Mahmoud Hassan Mgimwa



WIZARA YA UJENZI

WAZIRI: Dr.John Pombe Magufuli

NAIBU WAZIRI: Mh.Gerson Lwenge



WIZARA YA UCHUKUZI

WAZIRI: Dr.Harrison Mwakyembe

NAIBU WAZIRI: Dr.Charles J.Tizeba


WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI
WAZIRI: Dr.Jumanne Maghembe

NAIBU WAZIRI: Mh. Amos Gabriel Makalla

Kwenye Red ni Wakirsto wapo Mawaziri 37.

Kwenye Blue ni Waislam wapo Mawaziri 15.

Hapo sijakuwekea orodha ya Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.
 
Ukitaka kumtoa jikoni FF andika suala la udini hasa Uislamu na Ikulu,ni kama nyoka alie tunduni akihisi kuna panya lazima atatoka tu humo tunduni
 
tatizo ni #5 anapenda sana kuegemea upanve wa dini yake.
 
Naona wanahaha.

Nimewaambia nitamwaga data hapa za mchakato wa ajira zilizotangazwa (deadline ya 15 Dec, 2014) wiki iliyopita.

Vijana wenye sifa za kujaza position walizotangaza, wapo, na wame submit maombi tayari, tuwe na subira, mchakato ukianza nitaweka data hapa jamvini.

acha unafiki kafiri ww,si ufunguke km brother alipofunguka hpo juu?kwa videgree vyenu vya kanisa na pichu kwa maaskofu ndo mnataka mubebwe kila mara?wengi mna uwezo mdogo kupita maelezo,mnaifilisi nchi,mabalaa yote mupo nyinyi tu,epa,richmond,dowans,na hii escrow mpk maaskofu wenu wakapga dili na pope mkamtumia mna laana ya vizazi vya tz na dini yenu ya kuunga unga,nina data nyingi kuhusu uozo wenu na mbinu za maaskofu dhidi ya waislam wa tz nasubiri hali ya hewa ichafuke tu hapa nizitapike.
Hebu imagine popote anapoekwa mla mbuzi katoliki lazma aharibu kwa tuhuma za ufisadi akiekwa muislam matumbo yenu yanawaka moto kwa chuki hatimae mnawafanyia zengwe ndio hao kina kagasheki na mkulo,na huyu waziri wa fedha mnamtaftia step 2,kaja cag mpya kisa ni muislam mapovu yanawatoka na amesema anairejea report na kuweka wazi kila ki2 na uozo wote wa mkombozi bank kuweka bayana ole wenu! Hala hala kijiti na jicho
 
Mkuu ni vyema ungeweka ushahidi wa data ni kuliko kuja na maneno watupu, tuambie hizo departments zipi tuziweke hapa ukumbini.

mleta mada mdini anapotetea udini kwa sababu ya udini.Mbona list kama hiyo hujaitumia kuwapinga wandaodai "mfumo kiristu" wa Nyerere
 
Okoanchi na THE BIG SHOW huku sasa mnakoenda ndo kubaya,any way endeleen kubishania dini zenu na nafas serikalini,ila kazi hazipo serikalini pekee,mnachokifanya ni utoto,hivi watu wa dini yako wakiwa wengi serikalin wewe unanufaika nini?au unakosa nini???ni utoto tu huo

Sisemi kwamba kazi zitolewe kwa kuangalia dini ila hebu fikiria katika nchi inayosema haina dini ila watu wake wana dini halafu kuwe kunatolewa nafasi nyingi za kazi kwa kundi moja tu la watu mfano waislamu,Je unategemea kundi hilo lengine itakuaje?
 
Last edited by a moderator:
Tuwekee basi huo udini wa NSSF watu wajue.

mkuu nimekuwa na nssf kwa mda mrefu, hakuna udin wa dhahi upo wa kujificha ficha mfano huyo number tano ana hayo mambo sana, jaribu kuwauliza baadhi ya watumish wa NSSF.
 
"KUMCHA BWANA NI CHANZO CHA MAARIFA"
"MTAKUWA VICHWA WALA SIO MIKIA"

Hizo ndio aya zenye baraka zinazowafanya wakorinto kuwaburuza wapagani na waabudu mwezi ktk kila nyanja. Wakorinto ndio wenye maarifa kwa7bu wanamcha Mungu. Pia Mungu kawafanya kuwa vichwa ndio maana hata ofsini pakiwa 50/50 lazma tushangae maana huwezi linganisha kichwa na mkia/matak.o
 
WAKRISTO wabifsi sana tatizo hapo ni dr. DAU mbona hawwzungumzii jeshini wizarani necta toka imeanzishwa zaidi ya miaka 40 haijawahi tokea katibu mtendaji muislam hili wako kuna mengi sana nchi hii ila waislam hawana makuu.
 
mkuu nimekuwa na nssf kwa mda mrefu, hakuna udin wa dhahi upo wa kujificha ficha mfano huyo number tano ana hayo mambo sana, jaribu kuwauliza baadhi ya watumish wa NSSF.

Kwani mtu kuipenda dini na mungu wake ndio udini?
 
acha unafiki kafiri ww,si ufunguke km brother alipofunguka hpo juu?kwa videgree vyenu vya kanisa na pichu kwa maaskofu ndo mnataka mubebwe kila mara?wengi mna uwezo mdogo kupita maelezo,mnaifilisi nchi,mabalaa yote mupo nyinyi tu,epa,richmond,dowans,na hii escrow mpk maaskofu wenu wakapga dili na pope mkamtumia mna laana ya vizazi vya tz na dini yenu ya kuunga unga,nina data nyingi kuhusu uozo wenu na mbinu za maaskofu dhidi ya waislam wa tz nasubiri hali ya hewa ichafuke tu hapa nizitapike.
Hebu imagine popote anapoekwa mla mbuzi katoliki lazma aharibu kwa tuhuma za ufisadi akiekwa muislam matumbo yenu yanawaka moto kwa chuki hatimae mnawafanyia zengwe ndio hao kina kagasheki na mkulo,na huyu waziri wa fedha mnamtaftia step 2,kaja cag mpya kisa ni muislam mapovu yanawatoka na amesema anairejea report na kuweka wazi kila ki2 na uozo wote wa mkombozi bank kuweka bayana ole wenu! Hala hala kijiti na jicho

Mkuu nimeamini hasidi hana sababu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom