PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

Status
Not open for further replies.
tatizo lenu kuendekeza ushirikina na ushari.watu wanapenda amani na maelewano,nyie popote mlipo duniani amani na maelewano ni hadithi.hili sio swala nyerere, acha ushetwani jamii itawaamini.iraq,cyria.somalia,libya,misiri,pakistani,nigeria,africa ya kati,mali,kenya,morocco n.k.
watoto mmmekuwa wengi sana humu JF nowdays

mnatupa shida kufanya mijadala ya maana,

sababu ni watu wapuuz tu na wajinga wanaofananisha yanayoendelea mideast na hizo nchi ulizozitaja na uislam,

ndio kusema kwamba hufaham ya kwamba huko koote ulikosema kuna vurugu sababu ni hao hao wazungu mnaowaabudu na kuwaita waungu wenu ndio sababisho??

ni nani baina yao na hao wakaz wa huko walianza kudeploy majesh na kupeleka sehemu zisizo zao??

tatizo lenu hamna akili,thats why mmekalia kuiba fedha za walalahoi kwa kupitia makanisa kisha mnakimbilia kuzitakasa kwa kigezo cha kwamba yupo aliekufa kwa dhambi zenu,

mnatutia hasara sana nyinyi.
 
Huoni uteuzi wa juzi hapo aliteuliwa Mwenzenu, komaeni na shule ,Mkulu amewasaidia sana

kama alivyowasaidia nyinyi yule kafiri nyerere,

mnataman kwenda kumfufua sasa lakin waaapi,,,kwiiiisha habari yake,

mlidhan mngekaa nae milele siyo??

tunaimaliza moja kwa moja ile biashara ya mfumo kristo aliyokainzisha,

mlijisahau moja kwa moja mkadhani hili ni taifa lenu pekeyenu,

ona mnanyojidharaulisha kwa sasa,hadi makanisa yanahusika kwenye fedha za wizi,what a shame...!
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Wanajipanga kwa ajili ya kuiba !
 
Haya tuambie:
1. Rais ni........
2, Makamu wa Rais ........
3 Waziri wa Fedha ni ...............
4. Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) ni .........
5 Mhasibu Mkuu wa Serikali (Accountant General) ni .......
6. Commissioner General TRA ni ............

Sasa huo udini unaopigiwa kelele ni upi?

makafiri bana,,,

yaani ufaham na upeo uko chini sana,

no doubt ndiyo kwa maana yule msela mzungu anaitwa mungu,

mbona unaruka ruka lists sasa,,

endeleza hiyo list...

2.spika wa bunge ni ....

3.wazir mkuu dhaifu ni ...
4.mkuuu wa majeshi...ni...
5.mkuu wa magereza ni....
6.mkuu wa polisi ni...

unajua nyinyi jamaa mnapotaka kuipeleka hii nchi ni kubaya sana,

tena especially hivi sasa mlipofikia hatua ya kuiba hadi fedha za umma kwa mgongo wa makanisa yenu

mnapoelekea kwa sasa ni kubaya sana
 
Pale NECTA mliweka Parokia na Kigango tungepita wapi !?.........tokea wakati wa Kighoma Malima uligundulika mchezo wenu. Sana sana pamoja na elimu yoote mmebakia kuwa wezi na waabudu Masanamu !

sijui huo ndio utakatifu wanaofundishwa huko kwenye mahekalu yao?
 
kama alivyowasaidia nyinyi yule kafiri nyerere,

mnataman kwenda kumfufua sasa lakin waaapi,,,kwiiiisha habari yake,

mlidhan mngekaa nae milele siyo??

tunaimaliza moja kwa moja ile biashara ya mfumo kristo aliyokainzisha,

mlijisahau moja kwa moja mkadhani hili ni taifa lenu pekeyenu,

ona mnanyojidharaulisha kwa sasa,hadi makanisa yanahusika kwenye fedha za wizi,what a sha

POVU LA NINI?MUHUSIKA MKUU WA ESCROW NI MKRISTU KWANI?HAO WALIOPATA MGAO HAWANA SHIDA YOYOTE, UTASHUHUDIA MWENYEWE

ACHANA NA MAMBO YA USHIRIKINA,PENDENI AMANI MBONA MAMBO YANAKWENDA JAMANI!!
 
watoto mmmekuwa wengi sana humu JF nowdays

mnatupa shida kufanya mijadala ya maana,

sababu ni watu wapuuz tu na wajinga wanaofananisha yanayoendelea mideast na hizo nchi ulizozitaja na uislam,

ndio kusema kwamba hufaham ya kwamba huko koote ulikosema kuna vurugu sababu ni hao hao wazungu mnaowaabudu na kuwaita waungu wenu ndio sababisho??

ni nani baina yao na hao wakaz wa huko walianza kudeploy majesh na kupeleka sehemu zisizo zao??

tatizo lenu hamna akili,thats why mmekalia kuiba fedha za walalahoi kwa kupitia makanisa kisha mnakimbilia kuzitakasa kwa kigezo cha kwamba yupo aliekufa kwa dhambi zenu,

mnatutia hasara sana nyinyi.

vipi kuhusu Kenya, Nigeria, Somalia na CAR? Kule nako ni wazungu?
 
Big up kiongozi, umeongea kama kijana /mtu aliye na busara sana. Hakuna kitu kibaya kama kudhihakiana au kutofautiana kidini na kikabila...!

tukiwa tunaamini hivi na tutawaaminisha wadogo zetu basi kuna dalili watu wataacha hata kwenda kwenye usaili kwa kuangalia vigezo vya udini udini,wote tukemee,mwisho tutaanza kupanda mabas ya watu wa dini zetu,na kabila zetu,tutaanza kusoma magazet ya watu wa dini zetu na makabila yetu,redio na TV,kama tumefika hapa tumekwama tena,rafiki zangu wengi sana sio wa dini yangu wengi sana,marafiki zangu ambao tuna iman sawa ni wachache mno,me ni muumini wa kupambana ili kufanikiwa,wote tulikemee,haya yanaanza hapa,yataenda magazetini huko na redion ndo basi tena tumeshaleta balaa.
 
makafiri bana,,,

yaani ufaham na upeo uko chini sana,

no doubt ndiyo kwa maana yule msela mzungu anaitwa mungu,

mbona unaruka ruka lists sasa,,

endeleza hiyo list...

2.spika wa bunge ni ....

3.wazir mkuu dhaifu ni ...
4.mkuuu wa majeshi...ni...
5.mkuu wa magereza ni....
6.mkuu wa polisi ni...

unajua nyinyi jamaa mnapotaka kuipeleka hii nchi ni kubaya sana,

tena especially hivi sasa mlipofikia hatua ya kuiba hadi fedha za umma kwa mgongo wa makanisa yenu

mnapoelekea kwa sasa ni kubaya sana

Okoanchi na THE BIG SHOW huku sasa mnakoenda ndo kubaya,any way endeleen kubishania dini zenu na nafas serikalini,ila kazi hazipo serikalini pekee,mnachokifanya ni utoto,hivi watu wa dini yako wakiwa wengi serikalin wewe unanufaika nini?au unakosa nini???ni utoto tu huo
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya dini yashapitwa na wakati,ni kama mila tupa kule, mambo ya uchumi na teknojia ndo mpango mzima
 
Pigeni shule wazee sio kulalama kila kona;mko bize kuwakimbiza watoto Madrasa wakati wenzenu twawapeleka tuition
 
Vipi kuhusu NSSF

Nssf imebalance 50 50 kila upande ila kwa nchi hii kutokana na mazoea ya watu kuwa waislam ni wachache na baadh ya mashirika hawaonekani kabisa, ikitokea idara ,shirika au wizara ikaajiri watumishi 50 50 waislam na wakristo moja kwa moja hiyo inaonekana waislam ni wengi! badiliken jamani achen ujima
 
Mashirika hayo ya umma yanaongoza kwa udini...huku serikali ikiwa kimya....je hii ni sawa kweli? Ukiomba kazi kama jina lako sio john au magdalena hupati kazi hapo...tunaomba serikali ilifanyie kazi suala hili................

Hebu dadavua please .
 
Okoanchi na THE BIG SHOW huku sasa mnakoenda ndo kubaya,any way endeleen kubishania dini zenu na nafas serikalini,ila kazi hazipo serikalini pekee,mnachokifanya ni utoto,hivi watu wa dini yako wakiwa wengi serikalin wewe unanufaika nini?au unakosa nini???ni utoto tu huo

kwan sisi ndio tumeanza kulizungumzia hilo au nyinyi??

mkitakaje sasa,,sisi tunawapa takwimu zenu nyinyi wenyewe baada ya nyinyi kuanza kuleta maneno ya choko choko,

kama unataka tusiangaliane kwa udini basi mfunge hizo bakuli zenu na muache kuropoka ropoka maneno yasiyo na mpango,

kila sekta ya umaa mmejaa nyinyi

inachukiza mkiona kuna agency flan au shirika flan akiteuliiwa muislam mnaanza kuongea maneno ya kejeli eti udiniii udiniii then mkirajia sisi tukae kimya kuhusu hizom kauli zenu,

infact sisi tumekuwa wavumilivu kwa kias kikubwa sana dhidi ya dhulma zenu na kauli zenu za reja reja kwetu,

juzi tuh hapa tumeshuhudia wizi wa mabillion ya pesa zetu na maaskofu na makanisa yakihusika,

hujaskia muislam hata mmoja akipaza saut na kulalamika,tumejikalia zetu kimya sio kwamba hatuoni au hatuumii au hatuji kuwa hizo ni fedha zetu walipa kodi,

tunavumilia kwa kias kkubwa sana dhambi hizo,

ila thubutu pesa hizo zingechukuliwa na masheikhs au mabenk hayo yangekuwa yanamilikiwa na misikiti haki yanani tusingekaa ndan ya nchi hii,

lazima tungeskia hizo fedha ni kwa ajili ya kwenda kufadhiri ugaidi na wahusika wachukuliwe hatua,

na tungeskia matamko chungu tele ya mabaraza ya maaskofu,.,,lakin sisi tumejikalia zetu kimyaa tunawaangalia tu,sio kama hatuoni uozo wenu huo.
 
Pigeni shule wazee sio kulalama kila kona;mko bize kuwakimbiza watoto Madrasa wakati wenzenu twawapeleka tuition

ni bora tupeleke watoto madrasa kisha tuwafunze weledi na uaminifu kama wasomi wetu wajihidina kina Rished bade TRA,Dr Ramadhan Dau Alhaj Nssf,Prof Assad CAG mujahidina na kadhalika,kuliko kuwa na wasomi wa makanisa kama Andrew chenge FISADI,Prof Tibaijuka FISADI,,

Asiee the list is loooong...ni bora kuwa na hawa wa madrasa kuliko hao jamaa zenu waliokalia wizi na ufisadi tuh
 
Pigeni shule wazee sio kulalama kila kona;mko bize kuwakimbiza watoto Madrasa wakati wenzenu twawapeleka tuition

Tuition sio sababu la msingi ni bidii ya mwanafunz darasni we inaonekana hata shule ujaenda! wengine hata hizo tuition hatuzijui na madrasa tumesoma na hao waliokuwa wanasoma tuition walikuwa wanatuomba sisi wa madrasa majibu kwenye mitihani. fanya utafit kabla ya kuongea mkuu
 
ni bora tupeleke watoto madrasa kisha tuwafunze weledi na uaminifu kama wasomi wetu wajihidina kina Rished bade TRA,Dr Ramadhan Dau Alhaj Nssf,Prof Assad CAG mujahidina na kadhalika,kuliko kuwa na wasomi wa makanisa kama Andrew chenge FISADI,Prof Tibaijuka FISADI,,

Asiee the list is loooong...ni bora kuwa na hawa wa madrasa kuliko hao jamaa zenu waliokalia wizi na ufisadi tuh

Huo ndo ukweli mkuu
 
Pigeni shule wazee sio kulalama kila kona;mko bize kuwakimbiza watoto Madrasa wakati wenzenu twawapeleka tuition

hauwezi kuwa haujalewa! wagalatia wanavyoilalamikia nssf kwa udini mbona husemi chochote?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom