Wanaukumbi.
NSSF
1. Mkurugenzi Mkuu.
Ramadhani Dau. Muislamu
2. Mkurugenzi wa Fedha.
Ludovic Mrosso. Mkristo
3. Mkurugenzi wa shughuli. Cresentius Magori. Mkristo
4. Mkurugenzi wa Kompyuta.
I. Halfani. Muislamu
5. Mkurugenzi wa Utumishi.
Bi Chiku Matessa. Muislamu
6. Mkurugenzi wa uwekezaji. Yacoub Kidula. Muislamu
7. Mkurugenzi wa Ndani.
Pauline Mtunda. Mkristo
8. Meneja wa uhusiano. Bi
Eunice chiume. Mkristo
9. Mkuu wa usalama. Ramadhani Nasibu. Muislamu
10. Meneja kitengo maalum.
Davis Senkoro. Mkristo
11. Mkuu wa Idara ya Sheria.
Chedrick Komba. Mkristo
12. Mkuu wa Tathmini ya Mfuko. Sadi Shemliwa.
Muislamu.
Tunaomba tufahamishwe udini unaofanywa na Dr.Ramadhan Dau, NSSF ni upi.
Tumesikia kuwa ajira pale zinatolewa kwa Waislam watupu watu wakilalamika humu JF tunaomba watufahamishe hawa Wakirsto waliojaa NSSF nani kawapa nafasi.
Uongo ukitajwa kila mara mpaka unaonekana ukweli, kukuta mzizi wa fitina tuambiwe udini wa NSSF ni upi.