Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.
Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni', ilipofika saa 8 mchana moto ulipoanza kukolea sijawasikia tena.
Propaganda hiyo imekufa rasmi siisikii tena wamebaki kusema mali nyingi zimeteketea.
Nawakumbusha tu chawa wa mama na serikali yenyewe "Do not underestimate a quite guy". Wamesema 912 wanakuja tena kivingine, get prepared, au endeleeni kubeza mtavuna mabua.