Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,821
- 156,962
Hatujawahi kutumia akili vizuri;Ilikuwa ni suala rahisi tu. Wamepeana mimba wapewe muda wakalee.. mnamrudisha mtu arudi shule akasome wakati yeye amechagua kufanya reproduction? Mnasema ni haki yake kusoma.
Sasa kwa nini mumfunge mtu ambaye amempa mimba mwanafunzi? Ikiwa mwanafunzi huyo hakubakwa na ni haki yake kushiriki ngono? Anaweza kupata hamu ya kufanya na akakubali kufanywa kwa nini mje muonea mtu mwingine kumfunga miaka 30?
Anayeenda pata mimba kama hakubakwa huyo ni mkosaji. Mi nmeshawaambia kabisa mabint zangu. Wakipata mimba ntawaruhu waende kwa mwanaume mhusika wakaanze maisha.
Kuna watu wengi wanataka kusoma so wapewe nafasi. Na waotaka ku practise mazoezi ya ndoa nao wapewe nafasi wakafanye hayo huko huko. Wakimaliza kama wataenda kusoma Private schools its ok tena kwa kurudia darasa husika.
Adhabu ya mimba iwe kwa wote kama wote ni wanafunzi. Kama mmoja ni raia basi kipindi ambacho mwenzie analeleWa na wazazi wake ikiwa yeye hawezi kulea awekwe ndani.
Kuna mambo ambayo ni ya kitamaduni,mila na desturi.tusifuge ubovu. Hili nliliunga mkono kabisa. Maadili yetu yasivurugwe. Tunakoelekea haya maswala ya haki hata ushoga utasemwa ni haki ya mtu na matumizi ya mwili wake.
. Mtoto wa kike anabakwa anapata mimba
Na shule anafukuzwa...tunamkomoa nani?
Kwanini asipewe nafasi kujutia makosa asome ajikwamue?
Hii ni sheria kandamizi iondolewearaka