Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Anna Tibaijuka yeye ndiye waonee huruma wanawake wenzake ili wa mtetee kwa kurudisha pesa za umma
 
Huyu fisadi anaonyesha jinsi alivyo na akili mbovu sana. Mbona yeye alipopokea bulungutu lake hakuwafahamisha akina mama wampongeze kwa kupata bulungutu kubwa sana!? Alinunua hata vitanda 10 pale Muhimbili ili wamama wanaojifungua wasilale kwenye sakafu!? Leo mambo yamemchachia ndio anawakumbuka akina mama!!!! Pumbaf mkubwa.
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
Kama anataka utetezi wa kweli basi angehoji ni kwa nini Mungu hamutetei???
 
duh! kwa hiyo alitaka wanawake waandamane uchi na kugoma kutoa gegedo kwa waume zao ili kushinikiza serekari ijustify upuuzi wa Anna?!?!
wahaya wana matatizo bongoni!!!

Kijana Sanoyet hivi umeona hii ni ishu ya wahaya wote? acha hizo!
 
Last edited by a moderator:
Labda FaizaFoxy, ndiye kamwacha kwani huyo ndo mtetezi wa mafisadi wa ccm. Mbona kamtupa, au hakumgawia zile mboga za majani alizonunua kwa 10 milioni?
Njoo tetea maccm wenzako huku. Pu.mbavu zake
 
We ndo unaliona leo? wenzio tupo CCM kwa sababu ya Lowassa tu.
 
Pesa Aliwagawia?. Sababu wakati yeye anasema ananunua mboga za sh milioni kumi. Kuna mwanamke kule Mapelele Mbeya vijijini anashindia mboga yake ya Ngunyani,Parachichi moja na fungu moja la viazi kwa siku,yeye na watoto wake wawili ambao baba yao aliwakataa. Vyote vikiwa na thamani ya sh 500/=. Na hiyo ndio pesa kubwa anayoweza pata kwa siku.

Mkuu umenikumbusha mbaaaali. Nguniani nilikula miaka msingi sana Enzi za sisimba primary school. Walai ilikuwa bomba sana hasa ikiwekwa karanga.
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
Mbona hakuwaomba "wanawake wenzake" wakamsaidie kubeba zigo la pesa alizogaiwa?
 
Upumbavu na namna ambavyo hivi vyombo vya habari vina watu wa very low education, walianzaje kumpa kipindi si bora wangempa yule mama wa mdahalo tukasikia vyama vimeandaa nini kwa nafasi ya urais.
 
Nadhani watu hawajamuelewa huyu mama. Ni kama anasema kuwa, mbona nasurubiwa peke yangu wakati tuliokula tu wengi ?

I think she has a point with hidden echo!
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Msaada gani wakati anakula mboga ya million kumi!! Hivyo kuwa mwanamke ni kinga ya adhabu baada ya kufanya uhalifu?!
 
Kinana katoa mpya leo.......kamshauri katibu Mkuu kiongozi awaweke pembeni MA ESCROW wa serikali mpaka uchunguzi umalizike.Hivi anaweza kumuweka Shabani pembeni???nani anaweza nijuza.Vipi yule mtanzania aliye muuliza Kinana kuhusu pembe za ndovu yuko huru au anasaidia upelelezi??
 
Huo u-prof sijui aliupataje. Yaani kama mtu humfahamu huwezi kumtofautisha na prof majimarefu.


Baada ya kusikiliza hoja na matamko ya huyu mama na mwenzie Muhongo nimebadili mtazamo wangu niliokuwa nao juu ya maprofesa.
 
pesa za escrow hakugawana na kina mama sasa anataka atetewe baada ya mambo kwenda kombo.
 
Nadhani watu hawajamuelewa huyu mama. Ni kama anasema kuwa, mbona nasurubiwa peke yangu wakati tuliokula tu wengi ?

I think she has a point with hidden echo!

Babu shikamoo. . . . . .but who cares about hidden echo nowadays, especially when preceded with uncoothed acts. . . . .???!!
 
Tumtetee nini wakati kafanya makosa ya kijinga na "usomi" wote alionao.

Makosa yapi? Alishiriki ktk wizi wa pesa za Escrow? Ushiriki wake ni upi? Ndugu yako unaye mtetea hapa kila siku ndiye mpiga deal na mwizi wa Escrow. Acheni kutafuta mbuzi wa kafara wasio kuwa na hatia ili kuwalinda ndugu zenu walioko Ikulu.
 
Back
Top Bottom