Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Wasafi kwa vile hamjapata nafasi ya kuwa pale penye upenyo wa wizi/kuiba. Ukiwekwa waziri wa ardhi, tuwe wakweli utaondoka masikini na nafasi za kuiba zipo? Kwa Tanzania ilipofikia ni wangapi ni waaadilifu kiasi hicho!!! Tumpige mawe lakini tujitafakari. Jiulize swali hilo peke yako bila kumshirikisha mtu- shirikisha nafsi yako tu. Toa jibu kimoyo moyo! Siri yako!
(NOTE" Sitetei wizi hata kidogo, lakini nasi tujitafakari pia)
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!
Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
Chuakachara mie nikipewa nafasi hakika nitakula kwa urefu wa kamba yangu lakini nikipata ajali za kisiasa kama mzee wa mvi nitanyamaza. Sasa hiki kijeba hakiachi kelele wakati mwenyewe umekiri kalikula. Sasa mkuu unasemaje???
hayo nayajua, hoja yangu ni kwamba yeye angechukua zile za stanbic angelindwa kama yanavyolindwa majizi mengine kwa ile list kutowekwa hadharani!Na watu kuchukuwa pesa kwa viroba benki si muhali, mbona kila siku watu wanabeba na mifuko, viroba, magunia, masanduku, sandarusi na hata magari kutoka mabenki yote?
Au hayo huyajuwi?
alipopokea escrow kwani aliwashirikisha wanawake wenzak?
alipopokea escrow kwani aliwashirikisha wanawake wenzak?