Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Pesa Aliwagawia?. Sababu wakati yeye anasema ananunua mboga za sh milioni kumi. Kuna mwanamke kule Mapelele Mbeya vijijini anashindia mboga yake ya Ngunyani,Parachichi moja na fungu moja la viazi kwa siku,yeye na watoto wake wawili ambao baba yao aliwakataa. Vyote vikiwa na thamani ya sh 500/=. Na hiyo ndio pesa kubwa anayoweza pata kwa siku.

huo ndio ndio ukweli wa maisha mkuu, mbwembwe za mjini na yale yaliyoko vijijini ni vitu viwili tofauti
 
Anataka wamtetee kwa lipi? au anataka huruma kwa wanawake? je yeye aliwaonea huruma akawagawia hata kidogo alichopata toka ESCROW? na yeye kwa nafasi yake amewatetea wanawake wenzake kwa jambo lipi?

Wakati mwingine msiongozwe na chuki wakati mnajadili hoja ya aina hii. Tibaijuka kaiba pesa zipi za Escrow? Walioiba mnawafahamu,na mnawaogopa kuwaambia warejeshe pesa zetu walizo gawana Stanbic bank mnabakia kutukana aliye gawiwa pesa halali za hisa zake,akaamua kula na marafiki na ndugu zake!
 
Ndio maana Juliana Shonza kawaambia ukweli hawa vijana wa ufipa kuwa wana upeo mdogo wa kutafakari mambo.
 
Pesa Aliwagawia?. Sababu wakati yeye anasema ananunua mboga za sh milioni kumi. Kuna mwanamke kule Mapelele Mbeya vijijini anashindia mboga yake ya Ngunyani,Parachichi moja na fungu moja la viazi kwa siku,yeye na watoto wake wawili ambao baba yao aliwakataa. Vyote vikiwa na thamani ya sh 500/=. Na hiyo ndio pesa kubwa anayoweza pata kwa siku.

bila shaka mkuu ni mwenyej wa mbaliz
 
Anaomba huruma ya Mwanamke yupi?. Anayeishi Masaki , Osterbay na Mbezi au Yule wa Kijijini kwetu Mbozi mbeya?. Inabidi afafanue.
 
Alipovuta huo mpunga aligawia wanawake wangapi? amewahi kuaidia wanawake wangapi wenye shida,kuchangia michango wakatibiwe na mambo kama hayo,limesanuka ndio anawakumbuka wamsaidie,MCHUMA JANGA ULA NA NDUGUZE.
 
Ananyanyasika Halima Mdee ambayo anapigwa vilungu na kubambikwa kesi kwa ajili ya wanyonge , atanyanyasika Tibaijuka ambae mboga peke yaKE NI MILLION 10 kama vile ananunua nyangumi atumie mwaka mzima
 
Wakati mwingine msiongozwe na chuki wakati mnajadili hoja ya aina hii. Tibaijuka kaiba pesa zipi za Escrow? Walioiba mnawafahamu,na mnawaogopa kuwaambia warejeshe pesa zetu walizo gawana Stanbic bank mnabakia kutukana aliye gawiwa pesa halali za hisa zake,akaamua kula na marafiki na ndugu zake!

Tibajk baada ya kugundua kuwa zile pesa zilikuwa za wizi angeripoti kwa mkubwa wake na kuahidi kuzirudisha. That is honestly. Yeye aling'ang'ania kuwa zile pesa zilikuwa si za wizi kapewa na Ruge. Hata baada ya ku-prove kuwa zimeibwa alizidi kusema Ni zake. That was wrong; she deserved punishment!
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Source: Wapo radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Siasa ni watu, je watu wake ni akina nani? wapiga kura wake wanamuunga mkono? ukweli wanawake ndo waliopaza sauti pale karimjee mkuu akausoma upepo akabadili maamuzi palepale, sasa ajiulize imekuwaje wanawake wa Dar hawako pamoja nae?

Yeye ni professa sifa ya professa ni kufanya scientific research afanye research. tayari study question anayo anashindwa nini kufanya research na kupata jibu?
 
Hebu atuache kbs,kwenye mgao alitukumbuka au tulimtuma? Kila mtu atabeba mzigo wake.
 
Bilioni uchukue peke yako,kutetewa wakutete wengine

Na unyanyasike tu,maana hakuna namna nyingine sasa
 
Huyu mama anaongea utumbo kama hajaenda shule. Sijui huko UN alikua anafanya nini.. Ni aibu hata kwa wanawake wenzie
 
Nini?
Eti amenyanyasika kwa kupewa sh bilioni 1.6 ?

Yeye, Chenge, Gurumo, Sethi Singh, Stanbic bank (iliyokataa kutoa orodha ya waliochukua pesa za Escrow) na Benki kuu ya Tanzania (iliyoshindwa au iliyokataa kuilazimisha Stanbic bank kutoa orodha ya waliochukua pesa za Escrow) WANATIA HASIRA SANA.
 
Back
Top Bottom