FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
kwa mara ya kwanza nimekupongeza! Pia angepewa kama wale wa stanbic bank kwenye sandarus, viroba nk.
Na watu kuchukuwa pesa kwa viroba benki si muhali, mbona kila siku watu wanabeba na mifuko, viroba, magunia, masanduku, sandarusi na hata magari kutoka mabenki yote?
Au hayo huyajuwi?