Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Babu shikamoo. . . . . .but who cares about hidden echo nowadays, especially when preceded with uncoothed acts. . . . .???!!

That's where we commit blanders. Why not deal with the issue in its entirety?
 
Makosa yapi? Alishiriki ktk wizi wa pesa za Escrow? Ushiriki wake ni upi? Ndugu yako unaye mtetea hapa kila siku ndiye mpiga deal na mwizi wa Escrow. Acheni kutafuta mbuzi wa kafara wasio kuwa na hatia ili kuwalinda ndugu zenu walioko Ikulu.

Kosa lake ni kijinga sana, la kukubali kufunguwa account na kutiliwa pesa kwenye akaunti yake na si ya shule yake.

Pili hata zilipoingizwa kwake hakuweza ku "declare" kama kanuni za utumishi wa umma zinavyotaka.

Huo ni ujinga kwa "msomi".

Ndiyo maana humu huwa nnasema kusoma si kufuta ujinga. Ukiwa mjinga ni mjinga tu hata usome vipi.
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Shenzi hana Adabu...
 
​hivi kwanini isitungwe sheria ya hawa wasomi kutoingia kwenye siasa na wabaki tu kufundisha higher learning institutions???
 
Pesa Aliwagawia?. Sababu wakati yeye anasema ananunua mboga za sh milioni kumi. Kuna mwanamke kule Mapelele Mbeya vijijini anashindia mboga yake ya Ngunyani,Parachichi moja na fungu moja la viazi kwa siku,yeye na watoto wake wawili ambao baba yao aliwakataa. Vyote vikiwa na thamani ya sh 500/=. Na hiyo ndio pesa kubwa anayoweza pata kwa siku.

Daaaaaa Mapepele sokoni.... 😄 Nyumbani Hasa ❤
 
Nae mwizi tu ci anatoka chama kile kile cha majambawazi na sijui huu u prfesa alipataje mwiz
 
Na elimu si ile ya kusoma mivitabu tu darasani.

Hata maarifa ya kukabiliana na maisha nayo ni elimu.
ndio maana nikiwakumbuka chenge huyu mama na wasomi wengine nimeamua nisijiongezee elimu nitakomaa kubeba boksi hapa na diploma yangu uchwara ya hotel management niliyoipata kwenye chuo cha kishkaj kilichosajiliwa na veta juu ya ghorofa flan kariakoo 2008-2009
 
Kwani awali ulikuwa na mtazamo gani juu ya maprofesa?

Ha ha, sio siri mkuu nilikua naona maprofesa ni watu wajuu mno kifikra...kiakili na kimatendo...

The way walivyotutaabisha vyuoni na mbwembwe zao n.k

Nikifikiria wanavyoupata huo uprofesa ndo kabisa nilikua nawaona ni watu ambao wako very exceptional....

Sasa tangu nianze kusikiliza ujengaji hoja Wa Muhongo pale mjengoni..majibu yake na uongeaji wake nikija kwa huyu mama tangu sakata linaanza mpaka linafikia tamati maneno aliyokua akizungumza ktk public yamenishangaza Sana!!!

Simply yuko too illogical na mtiririko Wa matini ktk matamshi yake hayatofautiani na mtoto Wa kidato cha NNE..

Hivyo haya yamenifanya nigundue kuitwa professor kibongo bongo is just a tittle nothing else.....
 
Mie Mkuu huyo mwizi na fisadi Ramadhani Gurumo kama ingekuwa amri yangu angekuwa lupango na pesa yote angeirudisha hazina na mali yake yote kufilisiwa kwa kupokea rushwa na wahusika wengine wote wa sakata hili la rushwa, lakini haya mazingaombwe yanayofanyika sasa hivi huyu mama kutoa kebehi kwamba milioni 10 ilikuwa hela ya mboga, na huyo Gurumo kuonyesha kiburi cha hali ya juu kwamba ana pesa nyingi kuliko hiyo milioni 800 aliyopewa na mifuko yake yote ya nguo alizovaa ikiwemo koti imejaa pesa, na vijisenti kutaka aitwe joka lenye makengeza kwa sababu halazi damu pale kwenye uwezekano wa kutengeneza pesa ni dalili za kuonyesha ni jinsi gani hawa wahuni wasivyo na woga wowote kwa wizi na ufisadi wanaoufanya miaka nenda miaka rudi na kwa hali hii rushwa na ufisadi vitaendelea kushamiri nchini. Wamuogope nani wakati kiongozi mwenyewe wa nchi ni mwizi na fisadi. Unadhani Ruge atampa Ramadhani Gurumo milioni 800 bila kumpa Kikwete hata senti moja? Unadhani kwanini PCCB haimkamati huyu mwizi na fisadi baada ya kutoa rushwa ya mabilioni katika taasisi mbali mbali za Serikali ikiwemo Ikulu? Ni kwa sababu ana immunity toka kwa Kikwete hivyo hakuna wa kumgusa vinginevyo angekuwa lupango siku nyingi analala kwenye sakafu.



baharia Ar


Is there a double standards...?? Kama Mfanyakazi wa IKULU aliyepewa hizo PESA kama TIBAIJUKA sio MWIZI?

Kama sikosei ni Mnikulu wa Ikulu, Shaban Gurumo​


Inamaana pia Mnasifia Majibu yake kwenye KAMATI iliyoteuliwa...

No JUSTICE no TRANSPARENCY in this COUNTRY !!!

BAK, Nyanidume and amakyasya
 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.

Muda mwingi alikuwa anashinda na yule chizi mwenyekiti wa CCM geita leo ndo anajua kuna wanawake ?
 
Na elimu si ile ya kusoma mivitabu tu darasani.

Hata maarifa ya kukabiliana na maisha nayo ni elimu.

Huyo FaizaFoxy huwa haelewi nini maana ya elimu na kauli zake huwa zinajipinga zenyewe sasa sijui ni uelewa ama nini...

Mfano kuna swali anaulizaga ati "hizo shule mnakwenda kusomea ujinga?" ha ha hajui ujinga ni hali yakutojua kitu na hivyo "hali" huwezi kuisomea isipokuwa ni kitu natural kipo kwa yeyote na "kujua" ndo huondoa hali ya ujinga...

Mfundishe elimu haitolewi shuleni ama kwenye vitabu tu.
 
Last edited by a moderator:
Kosa lake ni kijinga sana, la kukubali kufunguwa account na kutiliwa pesa kwenye akaunti yake na si ya shule yake.

Pili hata zilipoingizwa kwake hakuweza ku "declare" kama kanuni za utumishi wa umma zinavyotaka.

Huo ni ujinga kwa "msomi".

Ndiyo maana humu huwa nnasema kusoma si kufuta ujinga. Ukiwa mjinga ni mjinga tu hata usome vipi.


Unaonekana Una phobia Sana na kusoma....
 
Huyo FaizaFoxy huwa haelewi nini maana ya elimu na kauli zake huwa zinajipinga zenyewe sasa sijui ni uelewa ama nini...

Mfano kuna swali anaulizaga ati "hizo shule mnakwenda kusomea ujinga?" ha ha hajui ujinga ni hali yakutojua kitu na hivyo "hali" huwezi kuisomea isipokuwa ni kitu natural kipo kwa yeyote na "kujua" ndo huondoa hali ya ujinga...

Mfundishe elimu haitolewi shuleni ama kwenye vitabu tu.

Naona unajichanganya, nimesema hivi;

Huo ni ujinga kwa "msomi".

Ndiyo maana humu huwa nnasema kusoma si kufuta ujinga. Ukiwa mjinga ni mjinga tu hata usome vipi.
 
Ha ha, sio siri mkuu nilikua naona maprofesa ni watu wajuu mno kifikra...kiakili na kimatendo...

The way walivyotutaabisha vyuoni na mbwembwe zao n.k

Nikifikiria wanavyoupata huo uprofesa ndo kabisa nilikua nawaona ni watu ambao wako very exceptional....

Sasa tangu nianze kusikiliza ujengaji hoja Wa Muhongo pale mjengoni..majibu yake na uongeaji wake nikija kwa huyu mama tangu sakata linaanza mpaka linafikia tamati maneno aliyokua akizungumza ktk public yamenishangaza Sana!!!

Simply yuko too illogical na mtiririko Wa matini ktk matamshi yake hayatofautiani na mtoto Wa kidato cha NNE..

Hivyo haya yamenifanya nigundue kuitwa professor kibongo bongo is just a tittle nothing else.....

Okay, nimekuelewa.

Mimi mshua alikuwa profesa hapo UDSM kwa miaka mingi sana na nimezaliwa na kukulia hapo hapo UDSM.

Hivyo nimeishi miongoni mwao sehemu kubwa ya maisha yangu na kwa tajiriba yangu hao watu nao ni watu wa kawaida kabisa.

Huo uprofesa wao ni kwenye taaluma zao tu walizozisomea. Na maisha ni zaidi ya taaluma aliyoisomea mtu.

Kuna mambo ya kimaisha ambayo hayafundishwi shuleni na ambayo hayana text book na yasiyoweza kukaririka.

Nimeshuhudia maprofesa kadha wa kadha wa UDSM wakifanya mambo ya ajabu sana.

Sitataja majina lakini wapo ambao nawajua walifukuzwa hadi kazi kwa sababu ya ulevi wa pombe chafu na kadhalika. Na hadi wanafukuzwa kazi walikuwa hawana hata kibanda wanachoweza kukiita 'changu hiki' cha kujibanzia.

Kuna waliozaa na wauza baa. Kuna wengine ambao wake zao walikuwa wanamegwa hadi na walinzi wa chuo kikuu (tulikuwa tunawaita sungusungu).

Kuna waliokufa kwa UKIMWI kwa sababu ya kuendekeza ngono zembe. Kwa kifupi ni kwamba na wao ni watu tu kama mimi na wewe ambao hawana kinga yoyote ile dhidi ya madhila na masahibu ya kidunia.

Naweza kuandika kurasa na kurasa juu ya maprofesa na taswira waliyonayo watu ambao siyo maprofesa juu yao.

Natumaini compadre wangu Bw. Udadisi atakuwa anaelewa nilichokiandika.
 
Back
Top Bottom