Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

Chanzo: Wapo Radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
 
Huyu Anna Tibaijuka ana dhihaka sana,hivi wakiitwa wananwake wanaonyanyasika na yeye atatoka?mwanamke anayenunua mboga kwa milioni 10 anadhihaki wenziwe kwa kuwaambia kuwa ananyanyasika?
Aisee akutukanaye hakuchagulii tusi.
 
Pesa Aliwagawia?. Sababu wakati yeye anasema ananunua mboga za sh milioni kumi. Kuna mwanamke kule Mapelele Mbeya vijijini anashindia mboga yake ya Ngunyani,Parachichi moja na fungu moja la viazi kwa siku,yeye na watoto wake wawili ambao baba yao aliwakataa. Vyote vikiwa na thamani ya sh 500/=. Na hiyo ndio pesa kubwa anayoweza pata kwa siku.
 
Hivi huyu mama bado analeta uzi hapaaaa!!! Hata hajaelewa kama hata jf hatutaki wachafu??? Mods please ondoa uzi huu
 
Na walishangilia kweli siku alipofukuzwa na kikwete pale ukumbini, wanawake wanashangaza sana
 
hahahaaaa hivi watampa tena nafasi ya Ubunge huyu mama hana confidence kabisa

kwa jinsi mnavyojua kuhonga huko ccm atapita tu ubunge. Siyo huyu tu ccm wengi wanafanya mambo ya ujanja ujanja tu.
 
Back
Top Bottom