Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,688
- 16,720
Ngoja nimwite, njoo huku Anna Tibaijuka
Last edited by a moderator:
Hivi huyu mama bado analeta uzi hapaaaa!!! Hata hajaelewa kama hata jf hatutaki wachafu??? Mods please ondoa uzi huu
Na walishangilia kweli siku alipofukuzwa na kikwete pale ukumbini, wanawake wanashangaza sana
Ngoja nimwite, njoo huku Anna Tibaijuka
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakatavla ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!
Source: Wapo radio fm, habari kwa ufupi magazetini.
Ndugu,msiwe mnakurupuka kuchangia thread kwa maneno machafu pasipo kuwa na uhakıka wa hzo taarifa.Escrow umekuwa mradi kwa watu wa magazeti na mitandao.Watu wanatunga story wanapost.Ufitinishajı wa namna hii nı ujinga na kuchangia threads km hz kwa matusi n ujinga pia.Kama mazuzu!!BAVICHA sio wakurupukajı, mnatuharıbia credibility yetu.
Nawe ona aibu kidogo. Kwani habari za huyu mama na maamuzi yaliyopitishwa na bunge,rais na NEC,hauyajui?Ndugu,msiwe mnakurupuka kuchangia thread kwa maneno machafu pasipo kuwa na uhakıka wa hzo taarifa.Escrow umekuwa mradi kwa watu wa magazeti na mitandao.Watu wanatunga story wanapost.Ufitinishajı wa namna hii nı ujinga na kuchangia threads km hz kwa matusi n ujinga pia.Kama mazuzu!!BAVICHA sio wakurupukajı, mnatuharıbia credibility yetu.
Ngoja nimwite, njoo huku Anna Tibaijuka
mmmmh...! sijui hata kuchungulia kama ana thubutu
Ndugu,msiwe mnakurupuka kuchangia thread kwa maneno machafu pasipo kuwa na uhakıka wa hzo taarifa.Escrow umekuwa mradi kwa watu wa magazeti na mitandao.Watu wanatunga story wanapost.Ufitinishajı wa namna hii nı ujinga na kuchangia threads km hz kwa matusi n ujinga pia.Kama mazuzu!!BAVICHA sio wakurupukajı, mnatuharıbia credibility yetu.
au atuambie kama rugamalile ni nyumba ndogo